Kocha wetu stars anataka kutupanda kichwani atimuliwe kabla mechi haijaanza!

Yale aliyosemaga RPC wa Dodoma(Muroto) kipindi Cha Mwendazake ndio mtakishuhudia leo
 
Ndugu ,chezaji wetu mmoja tu ndio anacheza team ya maana PAOK kwanini kocha asiseme tunaenda kujifunza ,stars wanapaswa kupongezwa hatua waliyofikia ni nzuri wafanye mara tano mfululizo tutadai kombe
 
Ameshaona mbeleni kuna bomu ameamua kujivua kuwajibika na kuwaandaa mashabiki mapema!
 
Hahahaha ndio maana kocha kasema wnajjfunza
 
Kocha kasema ukweli ...kazi ya kuhamasisha mashabiki si iko kamati
 
Hahahaha ndio maana kocha kasema wnajjfunza
Tuna akili mbovu kudhani kuwa tatizo ni kocha, viwango vya wachezaji wetuni vya chini sana. Hata aje Avram Grant kocha wa Zambia kwa wachezaji hawa tutapigwa tu.

Nchi hii inataka mapinduzi makubwa ya kimtazamo, huwezi kuwa na Baba Levo na Mwijaku kwenye suala linalohusu timu ya taifa halafu ukafika popote!.

Siasa zimeishi miaka mingi kwenye mpira wakati huo wenzetu wakijenga academies za soka za ukweli, wakifuata masharti yote ya mchezo.
 
Tena sio tu vya chini pia vya kawaida mno..
 
Ndugu ,chezaji wetu mmoja tu ndio anacheza team ya maana PAOK kwanini kocha asiseme tunaenda kujifunza ,stars wanapaswa kupongezwa hatua waliyofikia ni nzuri wafanye mara tano mfululizo tutadai kombe
Hiyo sio sababu ukishaitwa mchezaji wa team ya taifa cha kwanza ni morali ndio muhimu ila hawa wachezaji wetu hawa morali kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…