Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi walivyojipanga kuhakikisha wanalibeba au kufika fainali.
Side ameonekana kuungwa mkono na wanayanga wengi ambao wanafaham mpira zaidi yake ambao wanaona kombe la shirikisho la CAF linalojumuisha teams za kimataifa si kitu ila hili la CRDB NDO LENYEWE SASA hivyo awekeze nguvu huku zaidi baada ya kuamua kujitoa kombe la CAF ambalo wanayanga wengi pia waliona linawapotezea muda.
Labani og na ngara23 Watatupatia habari kamili hawa wachambuzi nguli wa mpira na wanayanga wenye kuelewa sana mpira pamoja na akina OKW BOBAN SUNZU na Extrovert