Kocha Yanga: Nimeletewa wachezaji ambao sikuwataka

Kocha Yanga: Nimeletewa wachezaji ambao sikuwataka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya Simba sasa sijui itakuwaje.

Kambi ya Morocco tumekuja ila hotel ya kwanza ilikuwa mbali na viwanja vya mazoezi nikaikataa hii ya pili ndiyo tumefikia umbali kutoka casablanca mpaka kambini ni kilometa kama 300 lakini tunapambana kujiweka sawa.

Jana kikosi kilisafiri ndege moja na wachezaji wa Simba wawili (Ndemla na Duncan) wenzetu waliposhuka walionganisha ndege mpaka ilipo kambi yao sisi tulichukuliwa na basi kitendo hiki sikukipenda ni kuwachosha wachezaji inaonesha jinsi gani watu wa logistics kwenye klabu hawapo vizuri.

Nilicha maagizo swala Sarpong na Saido walimalize kwa sababu hakuwa kwenye mipango yangu msimu huu mpya nashangaa sisi tulitangulia morocco kabla ya timu kufika kutoke Tanzania lakini nikashangaa kuwaona bado wapo nyota hao bado wapo kikosi wameshindwa kuvunja mikataba yao sina jinsi mimi ni mwalimu na kufundisha ndiyo kazi nitafundi ila napata wakati mgumu kwenye muunganiko wa mfumo kiuchezaji".

Maneno ya kocha wa yanga
 
MIKIA FC
FB_IMG_16292904947736305.jpg
 
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya Simba sasa sijui itakuwaje...
Wewe jamaa kila ukikaa unawaza Yanga tu na kuleta maneno ya umbea na uzushi.Unakuwa kama mwanamke wa kizaramo bwana
 
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya Simba sasa sijui itakuwaje...
Kwa hiyo huyo Kocha wa Yanga amebwaga manyanga au imekuwaje Mkuu?
 
7-0 kule South kwenye pre season zilimfanya Mkude kunyang'anywa u Captain, Sasa jichanganye mchezaji uzungumzie 9-0 uone Kama ujakwenda kupimwa akili na kuondolewa katika usajili.
 
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya Simba sasa sijui itakuwaje....
Aipiti siku bila kuanzisha thread inayoihusu Yanga,naona nnya inakugonga hapo ukifikiria Yanga ilivyojipanga msimu huu
 
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya Simba sasa sijui itakuwaje...
Wewe bwawbwa tu hauna jipya.
 
Back
Top Bottom