Kocha Yanga: Tutacheza kwa Nguvu na Kasi ya Ajabu

Kocha Yanga: Tutacheza kwa Nguvu na Kasi ya Ajabu

“Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena"

My Take
😂😂😂😂😂
Chonde chonde msijidunge
 
Back
Top Bottom