OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wazee lakini wanacheza club bingwaKocha anaweza akawa na shauku hiyo ya kucheza kwa kasi ya ajabu, tatizo Wchezaji ni wazee
Kila siku mnagongwa na wazeeKocha anaweza akawa na shauku hiyo ya kucheza kwa kasi ya ajabu, tatizo Wchezaji ni wazee
Chonde chonde msijidungeβYanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena"
My Take
πππππ