kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Wa barca sio tu kushinda machi nyingi ni unbeatenNani kashinda mechi nyingi kati ya city na barca?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa barca sio tu kushinda machi nyingi ni unbeatenNani kashinda mechi nyingi kati ya city na barca?
Mtaje jina-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
Zizou noumaKwa sasa Kocha bora ni Valverde wa barcelona tim yake imefungwa mechi moja tuu, pia haijafungwa mechi hata moja kwenye ligi kuu na UCL na yuko kwenye mashindano yoote mpaka sasa.
Barca kafungwa mara moja tuu. Na hajatolewa kwa kombe llte analo shiriki.Nani kashinda mechi nyingi kati ya city na barca?
chiken man?George Luandamina =Yanga 46point
Barca kafungwa mara moja tuu. Na hajatolewa kwa kombe llte analo shiriki.
Ila wa city katandikwa mechi nyingi mnoHajafungwa ila ana droo nyingi kuliko city
Ila wa city katandikwa mechi nyingi mno
Barca kapoteza mechi tatu-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
Amefungwa mechi tatu mkuu za ligiKwa sasa Kocha bora ni Valverde wa barcelona tim yake imefungwa mechi moja tuu, pia haijafungwa mechi hata moja kwenye ligi kuu na UCL na yuko kwenye mashindano yoote mpaka sasa.
Uzi wa mwaka jana march, wiki ijayo utakuwa uzi wa mwaka juzi.