Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Kwa mashabiki wengi wa kandanda watashtushwa na uamuzi wa ghafla wa kuachia ngazi kwa kocha kijana wa Real Madrid Mfaransa Zinedine Zidane alioutangaza mchana wa 31/5/2018 alipokua anaongea na waandishi wa habari.
Lakini kwa upande mwingine waweza kusema ameondoka muda muafaka hasa ukizingatia rekodi aliyoiweka ya kuchukua Ubingwa wa Vilabu Ulaya (Champions League) kwa mara tatu mfululizo.
Swali; Je, wewe unahisi ni kwa nini ameamua kung'atuka?
Jamaa anatisha..heshima kwako Zidane[emoji119]View attachment 790661
Exactly mkuu..Kacheza soka kwa mafanikio, halafu amefundisha Real kwa mafanikio. Nyota ya bahati hii hapa dunianiUkiambiwa kwamba kuna Watu Mwenyezi Mungu kawabariki na ' Nyota ' zao tokea wakiwa Matumboni mwa Mama zao basi mmoja wapo ni huyu ' Fundi ' Zinedine Yazid Zidane alias Zizzou.
Mpira Umeanza Kuufuatilia Lini?pengine anatafuta fursa ya kunyanyua kombe ambalo hana..WC
eee kabisa akachukue na world cup ili avunje nyingineKwa rekodi yake ya kuchukua Ubingwa tena wa Ulaya mara tatu ( 3 ) mfululizo ' treble ' Zinedine Yazid Zidane ' Zizzou ' angeendelea kubaki Kuwa ' Manager ' wa Real Madrid ningemdharau na kumpuuza sana. Sasa hivi ajiandae tu kufundisha Timu ya Taifa ya Ufaransa pale Fainali za Kombe la Dunia zikimalizika mwezi July.
Arsenal walikosea timingArsenal mngemchukua
Alisema hivi "Ni bora kuuacha mpira,kuliko kuachwa na mpira"akimaanisha anaacha mpira akiwa kwenye kiwango cha hali ya juu kabisaJamaa hatakagi kuondoka kwa aibu, hata soka la uwanjani aliondoka akiwa bado yuko juu sana, alikuwa 30 nafikiri.