Naongezea hapa wachezaji walimpenda zidane ,uongozi hakuwa unamkubaliUhusiano wake na Rais wa club ya Madrid Fiorentina Perez haupo vizuri kitambo kiufupi ni kua pamoja na kubeba makombe lakini bado Perez ajawahi kumkubali Zidane kama kocha bora mwenye mbinu even binafs sijawahi kumkubali kikubwa ana bahati ya kua na kikosi chenye nyota wengi...Vilevile uhusiano wa Ronaldo na Perez si mzuri mda tu...Zidane angeshaondolewa mda sema wachezaji mastaa wakiongozwa na Ronaldo walikua wanamuunga mkono
Hakika bibie umenena vyema.Zizou labda kakimbia Pressure na pengine hakupeda kuondoka na makosa.....
Legacy yake bado iko Juu, sio unasubiri kuwa Sacked....
Nina Imani atapata sehemu nyingine punde tu....Wenger here we go!!!!!!
Tamos uumbwaaa kabisa yuleDhambi ya Ramos kwa salah inaanza kuwatafuna taratibu.
Mpaka wiki ijayo ronaldo atakuwa zake Huko Marekani au China.
Karma is Bitch
1998 alishalichukua kama mchezaji. Labda kama kocha.pengine anatafuta fursa ya kunyanyua kombe ambalo hana..WC
Gazeti la Cadena SER kutoka nchini Hispania, limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Real Madrid ni kwamba Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou' (45), amejiuzulu nafasi ya kuifundisha Klabu ya Real Madrid ikiwa imepita siku tano tangu kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) mara tatu mfululizo.
Zidane mkataba wake wa sasa ulikuwa unaisha mwaka 2020.
====
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ametangaza kujiuzulu nafasi nafasi hiyo leo Alhamisi ikiwa ni siku tano tangu aipe timu yake taji la ubingwa mara ya tatu mfululizo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Zidane anaondoka klabuni hapo kwa heshima baada ya kuitumikia kwa miaka miwili. Mfaransa huyo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo.
Kocha Zidane alithibithisha leo mchana kwamba ataachia nafasi hiyo kama kocha mkuu wa Real Madrid licha ya kuipataia mafanikio makubwa klabu hiyo.
Mkongwe huyo wa soka mwenye miaka 45, baada ya kutwaa ubingwa wa Uefa ilikuwa inatabiriwa angeongezewa mkataba hadi mwaka 2020. Hata hivyo awali kulikuwa na presha kubwa kutoka uongozi wa Madrid kutokana na kutofanya vyema kwenye La Liga msimu huu ulioisha.
Makocha Arsene Wenger na Antonio Conte ni miongoni mwa wanaotajwa kumrithi Zidane, huku Conte akipewa nafasi kubwa Zaidi.
Zidane alimrithi kocha Rafael Banitez Januari 2016 na msimu huo huo aliipa taji la Ligi ya Mabingwa timu hiyo.
Zinedine Zidane announced that he's leaving Real Madrid with immediate effect after winning the third straight European title for the club.
The club surprisingly announced a press conference in Valdebebas this morning and the French coach told the media that he won't be coaching the team next season.
Cadena SER and GOL Televisión confirmed the news that Zidane is in fact leaving Madrid.
This has been a tough season for him as the team failed to compete in La Liga and the Copa del Rey, with Zidane being critisized often.
Zinedine Zidane has become one of the most successful coaches in Real Madrid history after winning three Champions League titles, one La Liga title, two European Supercups, two FIFA Club World Cups and a Spanish Supercup in just two and a half seasons.
Real Madrid have not named Zidane's replacement and right now no candidates have been mentioned, although it looks like Guti or Mauricio Pochettino could be the ones coaching the club next season.
Source: Zidane announces he leaves Real Madrid

ssa kwa nni koch bora ana jiuzuluGazeti la Cadena SER kutoka nchini Hispania, limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Real Madrid ni kwamba Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou' (45), amejiuzulu nafasi ya kuifundisha Klabu ya Real Madrid ikiwa imepita siku tano tangu kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) mara tatu mfululizo.
Zidane mkataba wake wa sasa ulikuwa unaisha mwaka 2020.
====
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ametangaza kujiuzulu nafasi nafasi hiyo leo Alhamisi ikiwa ni siku tano tangu aipe timu yake taji la ubingwa mara ya tatu mfululizo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Zidane anaondoka klabuni hapo kwa heshima baada ya kuitumikia kwa miaka miwili. Mfaransa huyo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo.
Kocha Zidane alithibithisha leo mchana kwamba ataachia nafasi hiyo kama kocha mkuu wa Real Madrid licha ya kuipataia mafanikio makubwa klabu hiyo.
Mkongwe huyo wa soka mwenye miaka 45, baada ya kutwaa ubingwa wa Uefa ilikuwa inatabiriwa angeongezewa mkataba hadi mwaka 2020. Hata hivyo awali kulikuwa na presha kubwa kutoka uongozi wa Madrid kutokana na kutofanya vyema kwenye La Liga msimu huu ulioisha.
Makocha Arsene Wenger na Antonio Conte ni miongoni mwa wanaotajwa kumrithi Zidane, huku Conte akipewa nafasi kubwa Zaidi.
Zidane alimrithi kocha Rafael Banitez Januari 2016 na msimu huo huo aliipa taji la Ligi ya Mabingwa timu hiyo.
Zinedine Zidane announced that he's leaving Real Madrid with immediate effect after winning the third straight European title for the club.
The club surprisingly announced a press conference in Valdebebas this morning and the French coach told the media that he won't be coaching the team next season.
Cadena SER and GOL Televisión confirmed the news that Zidane is in fact leaving Madrid.
This has been a tough season for him as the team failed to compete in La Liga and the Copa del Rey, with Zidane being critisized often.
Zinedine Zidane has become one of the most successful coaches in Real Madrid history after winning three Champions League titles, one La Liga title, two European Supercups, two FIFA Club World Cups and a Spanish Supercup in just two and a half seasons.
Real Madrid have not named Zidane's replacement and right now no candidates have been mentioned, although it looks like Guti or Mauricio Pochettino could be the ones coaching the club next season.
Source: Zidane announces he leaves Real Madrid
Amesoma alama za nyakati mapema sana japo wengi tunaweza kujua kwamba ameachana na Real Madrid ili kulinda hii ' treble record ' yake lakini ' Wafuatiliaji ' wa Kutukuka wa masuala ya mipira Tanzania na huko duniani Kwingine tumegundua ya kwamba Zidane hakuwa na wakati mzuri hasa Kimahusiano ya Rais wa Timu na kuna baadhi ya ' board Members ' wa Timu alikuwa akipishana nao. Na moja ya eneo ambao liliwaudhi na kuwakera Viongozi wa Real Madrid ni pale alipolazimisha kuwepo kwa ' Kipengele ' katika Mkataba wake kwamba katika masuala yote yahusuyo Timu hasa Wachezaji nani aanze na nani auzwe yatakuwa juu yake kama Muamuzi wa mwisho kitu ambacho kiliwakera / kiliwaudhi sana wenye Timu kiasi kwamba tokea siku nyingi walikuwa wakimlia tu ' timing ' ili aboronge / akosee / akengeuke hasa kwa Kufungwa halafu wapatie hapo hapo sababu ya Kumfurumusha / Kumfukuza lakini kama tujuavyo siku zote Dua la Kuku huwa halimpati Mwewe na badala yake Zidane ' nyota ' yake ikawa inang'aa tu huku akipata ' back up ' nzuri mno na ya kutosha kutoka kwa wale ' Senior Players ' na wenye ' ushawishi ' mkubwa hadi hivi majuzi alipofanikiwa kuwapa Real Madrid ' Ubingwa ' cha Champions League kwa mara ya 13 na mara 3 mfululizo akiingoza Yeye.
Kila la Kheri Mkuu.