proff g
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 146
- 113
Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya watumishi imeendelea kuonekana ni midogo kwasababiu pia yakukatwa kodi hii. lakini jambo jengine ninalo liona ni double taxation(kukatwa kodi mara mbili) unakatwa kodii hii lakini utakapo fanya manunuzi mengine unakatwa fedha tena hili sio sawa. tunawaomba wataalamu walitazame hili.