Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

Soul21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
210
Reaction score
351
Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda.

Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza vijana kama moto Wa Jehanamu. Pombe zimekuwa dampo huku Kila aina ya pombe Kali zipo Kwenye chupa na pia unajiuliza yote ha ya kuruhusu uchafu huu ni serikali kutaka Kodi.

Basi kama ni hivyo waje waone kwa macho Yao jinsia pesa wanayopata inaangamiza vijana huku Kaskazini ukitoa Tanga kidogo.
 
Asanteee.
Unafikiri mamlaka hazifahamu? Kuna mission kubwa ya kuhakikisha kizazi cha kaskazini kinateketea kwa sababu ni tishio kutokana na muamko wao mkubwa katika kutaka kuleta mageuzi katika serikali na masuala mengi ya msingi ambayo serikali haitaki kutimiza kwa wananchi.

Kaskazini (Kilimanjaro/Arusha) kuna viwanda vingi vya pombe kushinda vilivyopo kwenye miji mikubwa kama Dar, Mwanza ,Mbeya n.k. Kwa UCHUMI gani walio nao vijana wa Kilimanjaro na Arusha kuwekewa viwanda vingi vya pombe kali huko?

Wewe hujiulizi?
 
Unafikiri mamlaka hazifahamu? Kuna mission kubwa ya kuhakikisha kizazi cha kaskazini kinateketea kwa sababu ni tishio kutokana na muamko wao mkubwa katika kutaka kuleta mageuzi katika serikali na masuala mengi ya msingi ambyo serikali haitaki kutimiza kwa wananchi.

Yani watu waliochagua kunywa pombe kwa hiyari yao halafu lawama iende kwa
serikali?
waache wautumie uhuru wao halafu baada ya miongo kadhaa jamii hiyo hiyo itapima na kuona kama wanapaswa kuelendelea kama walivyo,kupunguza au kuacha.
 
Dah!!!
 
Acha hisia za kipumbavu. Hilo tatizo la kunywa pombe kupindukia ni tatizo la mtu binafsi. Serikali haihusiki.
 
Yani watu waliochagua kunywa pombe kwa hiyari yao halafu lawama iende kwa
serikali?
waache wautumie uhuru wao halafu baada ya miongo kadhaa jamii hiyo hiyo itapima na kuona kama wanapaswa kuelendelea kama walivyo,kupunguza au kuacha.
Mbona bangi na madawa ya kulevya ni kwa hiari yao lakini serikali inafuatilia kwa kina??
 
Nadhani tatizo si pombe. Tatizo ni Aina ya pombe na kiwango cha Matumizi.

Serikali ingepiga ban pombe feki. vijana wangetumia pombe za asili kama mbege ambazo hazina Madhara makubwa.

Binafsi nilishawah kutumia kisungura mara 1, sikuwahi kufikiria kutumia tena huu uchafu.

Atleast kutumia hansonschoice au nyagi kwa manati si mbaya .

Vijana kaeni mbali na huo uchafu.
 
Unafikiri mamlaka hazifahamu? Kuna mission kubwa ya kuhakikisha kizazi cha kaskazini kinateketea kwa sababu ni tishio kutokana na muamko wao mkubwa katika kutaka kuleta mageuzi katika serikali na masuala mengi ya msingi ambyo serikali haitaki kutimiza kwa wananchi.

Kaskazini (Kilimanjaro/Arusha) kuna viwanda vingi vya pombe kushinda vilivyopo kwenye miji mikubwa kama Dar, Mwanza ,Mbeya n.k. Kwa UCHUMI gani walio nao vijana wa Kilimanjaro na Arusha kuwekewa viwanda vingi vya pombe kali huko?

Wewe hujiulizi?
Mkuu Hali ya Hewa tu inaruhus
 
Sina uhakika na hili, navyoelewa kaskazini wachaga ni wengi na sehemu ya utamadumi wao pombe ina-nafasi kubwa zaidi.

Kinacho sababisha Matumizi makubwa ya pombe ni kupatikana kwa pombe za bei rahisi.
 
Unafikiri mamlaka hazifahamu? Kuna mission kubwa ya kuhakikisha kizazi cha kaskazini kinateketea kwa sababu ni tishio kutokana na muamko wao mkubwa katika kutaka kuleta mageuzi katika serikali na masuala mengi ya msingi ambyo serikali haitaki kutimiza kwa wananchi.

Kaskazini (Kilimanjaro/Arusha) kuna viwanda vingi vya pombe kushinda vilivyopo kwenye miji mikubwa kama Dar, Mwanza ,Mbeya n.k. Kwa UCHUMI gani walio nao vijana wa Kilimanjaro na Arusha kuwekewa viwanda vingi vya pombe kali huko?

Wewe hujiulizi?
Tuanze kwa kuwatambua na kuwatambulisha kwa Jamii wamiliki na washika day wa hivyo viwanda vya ukanda huo.
 
Back
Top Bottom