Gidabed
JF-Expert Member
- Jan 29, 2023
- 749
- 1,352
Una uhakika mkuu kwamba ni sababu za kiafya?.Bangi iná madhara kuliko pombe. Hii ni duniani kote.
Kwamba serikali inatujali kiasi hicho??
Una uhakika mkuu kwamba ni sababu za kiafya?.Bangi iná madhara kuliko pombe. Hii ni duniani kote.
Nna uhakika. Na siyo Tanzania tu bali ni duniani kote.Una uhakika mkuu kwamba ni sababu za kiafya?.
Kwamba serikali inatujali kiasi hicho??
Nonsense!!!Yani watu waliochagua kunywa pombe kwa hiyari yao halafu lawama iende kwa
serikali?
waache wautumie uhuru wao halafu baada ya miongo kadhaa jamii hiyo hiyo itapima na kuona kama wanapaswa kuelendelea kama walivyo,kupunguza au kuacha.
Hili ni janga la kitaifa, nipo zangu hapa mambali Tabora, vijana wanakula ulabu kutoka burundi wa kutosha, ukitoka hapa nenda hapo makambako, na kwinginepo uwafikishie huu ujumbe.Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda.
Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza vijana kama moto Wa Jehanamu. Pombe zimekuwa dampo huku Kila aina ya pombe Kali zipo Kwenye chupa na pia unajiuliza yote ha ya kuruhusu uchafu huu ni serikali kutaka Kodi.
Basi kama ni hivyo waje waone kwa macho Yao jinsia pesa wanayopata inaangamiza vijana huku Kaskazini ukitoa Tanga kidogo.
Kama ni madhara nadhani pombe ndio ina madhara zaidiNna uhakika. Na siyo Tanzania tu bali ni duniani kote.
Bangi haitumiki kwa wingi kama pombe, hivyo ukiweka head to head pombe itashinda kwenye madhara hasa ukijumuisha side effects kama ajali, madhara ya kifamilia na magonjwa. Ningependa sana wahalalishe ili tujue mbivu na mbichiKama ni madhara nadhani pombe ndio ina madhara zaidi
Umewahi kuona mtu aliyelewa bangi? Hakuna mtu analewa bangi sababu bangi haileweshi bali inasisimua tu.Bangi iná madhara kuliko pombe. Hii ni duniani kote.
endelea kuisubiri serikali ije kukuzuia usinywe pombe kupitiliza,bila shaka itakuwa kipindi cha pili Cha mama samiaNonsense!!!
Serikali inahusika na ustawi wa wananchi wake. Ukiona ina mawazo kama ya kwako, ujue kuna shida.endelea kuisubiri serikali ije kukuzuia usinywe pombe kupitiliza,bila shaka itakuwa kipindi cha pili Cha mama samia