Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

Mbona serikali inafuatilia matumizi ya bangi nalo si suala binafsi?
Tutajie kiwanda kimoja cha kutengeneza Bangi kinachotambulika rasmi japo kwa Serikali ya mtaa na kinalipa kodi stahiki za kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa ya Burudani Kama ilivyo kwa Pombe…
 
Baada ya miaka hamsini genetic ya watu wa Kilimanjaro itakuwa sio wachaga vijana wa kiha na kisukuma wanaenda kutunza ngombe huko Wana waoa na kuwapa mimba mabinti wa huko vijana wako bize na pombe na tafrija za kila Mara msiba au harusi
 
Mkuu umeongea umesema jambo zito sana
 
Hii ni conspiracy tuu, sheria za kodi ni sawa nchi nzima hazibagui, na kuzuia pombe sio sawa, wengi wanakunywa wanawajibika kwa afya zao, hao wasaidiwe kwa namna nyingine inayofaa
 
Baada ya miaka hamsini genetic ya watu wa Kilimanjaro itakuwa sio wachaga vijana wa kiha na kisukuma wanaenda kutunza ngombe huko Wana waoa na kuwapa mimba mabinti wa huko vijana wako bize na pombe na tafrija za kila Mara msiba au harusi
Mnaona wachaga tuu, kiukweli ulevi uliopindukia ni kila kona ya nchi, niliwahi kupita kijijini kwa babu, watu wanaanza pombe saa mbili asubuhi ikifika saa 11 jioni wote wamelala
 
Habari bila picha umbeya
 
Hivi kwanini serikali inakataza matumizi ya bangi huku matumizi ya pombe yakihalalishwa?
 
Acha hisia za kipumbavu. Hilo tatizo la kunywa pombe kupindukia ni tatizo la mtu binafsi. Serikali haihusiki.
Haya ndiyo mawazo ya CCM na ndiyo maana tumefika hapa. Unajua kazi ya serikali? Pengine unadhani ni kuteka na kuua. Serikali yoyote haiwezi kuachia raia wajingamize kwa kisingizio cha ''tatizo la mtu binafsi''. nfact serikali ipo ili ku deal na matatizo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…