Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

Yani watu waliochagua kunywa pombe kwa hiyari yao halafu lawama iende kwa
serikali?
waache wautumie uhuru wao halafu baada ya miongo kadhaa jamii hiyo hiyo itapima na kuona kama wanapaswa kuelendelea kama walivyo,kupunguza au kuacha.
Nonsense!!!
 
Hili ni janga la kitaifa, nipo zangu hapa mambali Tabora, vijana wanakula ulabu kutoka burundi wa kutosha, ukitoka hapa nenda hapo makambako, na kwinginepo uwafikishie huu ujumbe.

Sehemu zote hasa vijijini vijana wanazamia kwenye uraibu wa pombe tena zile za bei rahisi.
 
Kama ni madhara nadhani pombe ndio ina madhara zaidi
Bangi haitumiki kwa wingi kama pombe, hivyo ukiweka head to head pombe itashinda kwenye madhara hasa ukijumuisha side effects kama ajali, madhara ya kifamilia na magonjwa. Ningependa sana wahalalishe ili tujue mbivu na mbichi
 
Na wengi wanaoangamia kwa pombe kaskazini ni watu wakuja kama warangi na ndugu zao wanyaturu na kwa wingi wale wale wa vizazi vya waliokuwa wasumbufu tangu enzi za kabla ya uhuru. Kaskazini kuna matabaka ya kila aina na yanajuana.
 
Bangi iná madhara kuliko pombe. Hii ni duniani kote.
Umewahi kuona mtu aliyelewa bangi? Hakuna mtu analewa bangi sababu bangi haileweshi bali inasisimua tu.

Ukiona mtu kalewa bangi jua kachanganyiwa na ulevi mwingine.

Kwa mantiki hiyo, bangi haina madhara ya kiulevi.
 
endelea kuisubiri serikali ije kukuzuia usinywe pombe kupitiliza,bila shaka itakuwa kipindi cha pili Cha mama samia
Serikali inahusika na ustawi wa wananchi wake. Ukiona ina mawazo kama ya kwako, ujue kuna shida.
 
Huko kuna vyuma hivi👉👉👉highlife,azura,k-vant,denge,mbege, bia eagle(hiki chuma kinauzwa buku tu, ukinywa mbili tayari unaanza kuona maluweluwe) na kiwingu

Usije kusahau mirungi bei cheee..
 
Huko kuna vyuma hivi👉👉👉highlife,azura,k-vant,denge,mbege, bia eagle(hiki chuma kinauzwa buku tu, ukinywa mbili tayari unaanza kuona maluweluwe) na kiwingu

Usije kusahau mirungi bei cheee..
Acha tu mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…