ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Actually alisema ni milioni moja. Milioni moja contract ya 6.6 bn.si ndio hizi Wana tununulia sukari kwa ajili ya wananchi we si umesikia mpaka stationary inapewa tenda ya kuaagiza sukari ya bilioni 6btsh ili hali mtaji wake Ni milion50 tsh.
Watu ni wajinga sana. Yule mpuuzi wa nenda Burundi alitakiwa ajiuzulu haraka sana!Kauli kama hz nazichukia sana
badala utoe ushauri nini kifanyike ww unaona sawa raia kukatwa kodi alafu hakuna taarifa ya makusanyo wala taarifa ya matumizi
Taifa limehaaa wajinga sana amini usiamini, na hii ni adcantage kubwa sana kwa watawala. Angalia wafanyakazi walivyo tu waoga acha raia wa kawaida masikini angalia wafanyakazi,
linapo kuja swala la Uoga sidhani kama kuna Taifa linatusogelea
Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.Taifa limehaaa wajinga sana amini usiamini, na hii ni adcantage kubwa sana kwa watawala. Angalia wafanyakazi walivyo tu waoga acha raia wa kawaida masikini angalia wafanyakazi,
linapo kuja swala la Uoga sidhani kama kuna Taifa linatusogelea
Huwezi kupewa taarifa ya makusanyo na matumizi huo Ndiyo ukweli tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kunavitu ukihoji utaambiwa uondoke hapo nyumbani si umekua? Hivyo basi hiyo tabia ya kuto kuhoji mmeileta kwenye jamiiKauli kama hz nazichukia sana
badala utoe ushauri nini kifanyike ww unaona sawa raia kukatwa kodi alafu hakuna taarifa ya makusanyo wala taarifa ya matumizi
Actually alisema ni milioni moja. Milioni moja contract ya 6.6 bn.
Kiuhalisia huyo mtu hajui chochote kuhusu hiyo biashara, anatumiwa tu kuanzisha kampuni.
Bilioni moja ni milion elfu moja.
Ni kiasi gani 6.6bn?
Huwezi kupewa taarifa ya makusanyo na matumizi huo Ndiyo ukweli tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kunavitu ukihoji utaambiwa uondoke hapo nyumbani si umekua? Hivyo basi hiyo tabia ya kuto kuhoji mmeileta kwenye jamii
Huoni barabara za kila kona, elimu bure nkKwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka.
Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa.
Mfano ni Congo ukiishaingiza gari yako inaenda direct kwenye matumizi Zambia kadhalika lakini hapa kwetu ukinunua gari ya dolar 15000 ujue utatakiwa kuwa na dollar kama hizo kujifanya lihalalishwe kutumika Tanzania
Ukizingatia idadi ya gari za kifahari zinazonunuliwa kwa fujo na watu binafsi pamoja makampuni na taasisi mbalimbali zinazofanya kazi hapa nchini pia foleni ya gari binafsi sioni return inayoridhisha kama matokeo ya kodi kubwa sana tunayopigwa kwenye magari.
Huoni barabara za kila kona, elimu bure nk
Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.
Tukipata viongozi wazalendo tuwape serious support tuondoe tofauti ndogondogo.
Fuatilia bunge la bajeti, soma bajeti ya nchi yako kila mwaka boss halafu kama unajali sana uwe unasoma na taarifa ya CAG.Taarifa ni haki ya msingi kwa raia kujua
inapaswa kila mwezi tuwe tunajua mapato na matumizi kwa TRA, HAZINA, na taasisi zngne kama halmashauri, tanesco nk
umuhimu wa taarifa ni kujenga takwimu ili kesho na keshokuwa tujue upotevu, ufanisi na maendeleo
Mbowe si alileta us*nge mwaka 2015. Raia tulijitoa sana lile zee na matamaa yake likakunja mpunga kwa lowassa likachana mkeka.Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.
Tukipata viongozi wazalendo tuwape serious support tuondoe tofauti ndogondogo.