Kodi tunayotozwa kwenye magari ni kubwa mno kwani inaendaga wapi? Mbona sioni impact yake kwenye uchumi?

Kodi tunayotozwa kwenye magari ni kubwa mno kwani inaendaga wapi? Mbona sioni impact yake kwenye uchumi?

si ndio hizi Wana tununulia sukari kwa ajili ya wananchi we si umesikia mpaka stationary inapewa tenda ya kuaagiza sukari ya bilioni 6btsh ili hali mtaji wake Ni milion50 tsh.
Actually alisema ni milioni moja. Milioni moja contract ya 6.6 bn.

Kiuhalisia huyo mtu hajui chochote kuhusu hiyo biashara, anatumiwa tu kuanzisha kampuni.

Bilioni moja ni milion elfu moja.
Ni kiasi gani 6.6bn?
 
Wa
Kauli kama hz nazichukia sana
badala utoe ushauri nini kifanyike ww unaona sawa raia kukatwa kodi alafu hakuna taarifa ya makusanyo wala taarifa ya matumizi
Watu ni wajinga sana. Yule mpuuzi wa nenda Burundi alitakiwa ajiuzulu haraka sana!
 
Umesema ukweli kabisa mwamba! Sio waoga TU ni mazombies!
Taifa limehaaa wajinga sana amini usiamini, na hii ni adcantage kubwa sana kwa watawala. Angalia wafanyakazi walivyo tu waoga acha raia wa kawaida masikini angalia wafanyakazi,
linapo kuja swala la Uoga sidhani kama kuna Taifa linatusogelea
 
Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.

Tukipata viongozi wazalendo tuwape serious support tuondoe tofauti ndogondogo.
 
Kauli kama hz nazichukia sana
badala utoe ushauri nini kifanyike ww unaona sawa raia kukatwa kodi alafu hakuna taarifa ya makusanyo wala taarifa ya matumizi
Huwezi kupewa taarifa ya makusanyo na matumizi huo Ndiyo ukweli tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kunavitu ukihoji utaambiwa uondoke hapo nyumbani si umekua? Hivyo basi hiyo tabia ya kuto kuhoji mmeileta kwenye jamii
 
Kwenye magari kiukweli wa akaamua mno yaani kuna mtu juzi humu amejikuata analipa kodi kubwa kuliko pesa aliyonunulia Gari hadi kufika Dar.

Sababu nini kwanza ya hizi kodi kubwa? Ili wamiliki wa magari wawe wachache na ionekane Gari sio kila mtu anamiliki? Je Kuna mtu ambaye sio mtanzania anasimamia kiasi kwamba asiwe na huruma na watanzania wenzake? Au labda mtozakodi ni mfumo ambao sisi wanadamu hatuwezi kufanya marekebisho. Maswali ni mengi.
Hatukatai kuwapo na ushuru ila daah
 
Mfumo wa Kodi wa magari still bado ni wa ujamaa.
Ant dumping principal ni shit principal kwa modern world.
Ishu ya kucontrol traffic ni principal ya kipumbavu utadhani gari zote zinaishia Dar.
 
Actually alisema ni milioni moja. Milioni moja contract ya 6.6 bn.

Kiuhalisia huyo mtu hajui chochote kuhusu hiyo biashara, anatumiwa tu kuanzisha kampuni.

Bilioni moja ni milion elfu moja.
Ni kiasi gani 6.6bn?

Kama ni kweli jambo hili imefanyika, inasikitisha sana kwa huyo waziri bado kuwepo kazini na mamlaka za uteuzi zmekaa kmya

alipaswa awajibike mwenyewe kwa hiari kuliko kuendelea kuchafua wenzake
 
Huwezi kupewa taarifa ya makusanyo na matumizi huo Ndiyo ukweli tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kunavitu ukihoji utaambiwa uondoke hapo nyumbani si umekua? Hivyo basi hiyo tabia ya kuto kuhoji mmeileta kwenye jamii

Taarifa ni haki ya msingi kwa raia kujua

inapaswa kila mwezi tuwe tunajua mapato na matumizi kwa TRA, HAZINA, na taasisi zngne kama halmashauri, tanesco nk

umuhimu wa taarifa ni kujenga takwimu ili kesho na keshokuwa tujue upotevu, ufanisi na maendeleo
 
Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka.

Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa.

Mfano ni Congo ukiishaingiza gari yako inaenda direct kwenye matumizi Zambia kadhalika lakini hapa kwetu ukinunua gari ya dolar 15000 ujue utatakiwa kuwa na dollar kama hizo kujifanya lihalalishwe kutumika Tanzania

Ukizingatia idadi ya gari za kifahari zinazonunuliwa kwa fujo na watu binafsi pamoja makampuni na taasisi mbalimbali zinazofanya kazi hapa nchini pia foleni ya gari binafsi sioni return inayoridhisha kama matokeo ya kodi kubwa sana tunayopigwa kwenye magari.
Huoni barabara za kila kona, elimu bure nk
 
Huoni barabara za kila kona, elimu bure nk

Elimu bure ?! Vya bure gharama

watoto wanasoma wamekaa chini, madarasa hayatoshi, walimu wachache yaan ni bora elimu sio elimu bora

raia kutokua na elimu bora, kutojitambua kwa baadhi ya raia ndio mtaji wa ccm
 
Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.

Tukipata viongozi wazalendo tuwape serious support tuondoe tofauti ndogondogo.

Tatizo hao viongoz wakileta hoja au kuibua skendo, ataitwa nyuma ya pazia na kupewa pesa au uongozi ili anyamaze
 
Taarifa ni haki ya msingi kwa raia kujua

inapaswa kila mwezi tuwe tunajua mapato na matumizi kwa TRA, HAZINA, na taasisi zngne kama halmashauri, tanesco nk

umuhimu wa taarifa ni kujenga takwimu ili kesho na keshokuwa tujue upotevu, ufanisi na maendeleo
Fuatilia bunge la bajeti, soma bajeti ya nchi yako kila mwaka boss halafu kama unajali sana uwe unasoma na taarifa ya CAG.
 
Tunafanyaje? tuwa-support hawa viongozi majasiri wanaotupigia au kujaribu kutubarisha.

Tukipata viongozi wazalendo tuwape serious support tuondoe tofauti ndogondogo.
Mbowe si alileta us*nge mwaka 2015. Raia tulijitoa sana lile zee na matamaa yake likakunja mpunga kwa lowassa likachana mkeka.
 
Back
Top Bottom