Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa

Pole ndio tanzania hiyo ...

Eleza umefungua biashara gani ? Ya mtaji gani na umekumbwa na Kodi zipi ?
 
Mdau mwengine amegusia swala la ushuru wa magari sina utaalamu sana huko maana sifanyi Biashara ya magari wala sijawahi kuagiza nje. Ila malalamiko ni kwamba ushuru ni sawa na bei ya gari uliyoagizia ukilinganisha na ushuru wa nchi jirani(). Hapa nawaachia wanajamvi wenye ujuzi waje waendeleze ila kwa style hii wizi wa kuibia serikali hautoisha kwasababu kadri siku zinavozidi kwenda, kodi na ushuru ni viko juu watu wanazidi kupata akili ya kuibia serikali and in the end wanaokamatwa ovyo ni hawa wa chini wakati wale wakubwa wenyewe wanaochota mabilioni wanakula maisha kwa sababu wanaujua mfumo, wanajua wapi wachote na nani wamshike ili wasikamatwe. Zaidi ya hayo. Wakubwa mtusaidie kodi zipungue kidogo.
 
Umelinganisha Tanzania na nchi zipi?
 
Umelinganisha Tanzania na nchi zipi?
nitaenda kulinganisha Nchi yangu na nchi nyingine kwa nauli ipi kwa mfano? Niko nakomaa na matatizo ya kwetu hadi niyatatue huko kwa watu si ndo ntakoma. Naongelea tatizo nliloliona kwetu ndo nna uzoefu nalo
 
Ni week mbili zimepita nilipandishiana na Jamaa wa TRA baada ya kuona anataka kuninyonya, wenzangu/majirani nilio wakuta wao wamekubali kua wanyonge..

Nikamkazia Na kumchana kavu, Akaondoka akasema "dogo Hunijui Utafunga hio biashara hata hio sikukuu hutauza" akakunja mkia akasepa.

Kusema ukweli nilimkazia tuu ile kiume, ila sina ninaposhikia akiamua kunikazia,
Cha kushangaza naona kimya, kaja mara tatu Anapita na kama kuna jambo anfuata taratibu.

Kama hali ikiwa hivi, kweli kuna mda mkwara unasaidiaa,
Yule Atakua kahisi nina connection na wakubwa hasa akiangalia jina langu la ukoo,
Asijue kumbe ni kandondocha flan tu hivi.
Alishangaa huyu jamaa ni mgeni, wenyeji wananiogopa yeye ana nini?
 
Ni kweli kodi yetu ni kubwa saana....ila pia ni rate ya nchi nyingi hasa za Afrika...

Tax rate yetu ni asilimia 30....
 
Wanaolipa hizo tozo hata hawalalami sasa Wanaolalamika sio walipaji na kodi hawalipi jf raha sana [emoji28][emoji28]
 

Anakutafutia siku, akikuotea uatajua hujui[emoji28][emoji28]
 
Hawalalamiki kwasababu uwezo wao wa kulipa hizo kodi unajitosheleza. Mimi nabangaiza wao wanauwezo unaowatosha so hii comparison hapa kama haiingii vile
Wanaolipa hizo tozo hata hawalalami sasa Wanaolalamika sio walipaji na kodi hawalipi jf raha sana [emoji28][emoji28]
 
tatizo ni kwamba hata ukiliongelea haiwezi kubadili chochote
 
Kama umefunga biashara yako nakushauri nenda TRA katoe taarifa otherwise utakutana na malimbikizo ya kodi hautaamini
 
And by the way. Kulipa kodi ni wajibu na sio mapendeleo ya mtu. Hawalalamiki kwasababu hawajui wapi pa kulalamikia mimi najua wapi pa kusema. Na mambo yasipobadilika nitapeleka maombi mbele zaidi. Hii ni nchi yangu. Siikimbii na nitasolve matatizo yetu nikiwa humu. Be the change you want to see
Wanaolipa hizo tozo hata hawalalami sasa Wanaolalamika sio walipaji na kodi hawalipi jf raha sana [emoji28][emoji28]
 
Kama umefunga biashara yako nakushauri nenda TRA katoe taarifa otherwise utakutana na malimbikizo ya kodi hautaamini
Nilishafanya haya mda mrefu sana. Niliwaambia kabisa nimefunga naombeni mniondoe kwenye hiyo system yenu. Na nadhani watu wengi wanakosa hii elimu kwamba ukifunga Biashara ni lazima ubadilishiwe TIN irudi kuwa personal. Watu wanakuja kulia mwishoni. TRA wameshindwa kuomba kipindi cha Tv kutoa elimu kama hizi wanasubiri kuchota pesa za watu. Sawa
 

Taja hzo tozo ambazo unaona unaonewa, pia umemskia mzee magufuli?? We lala [emoji28]
 
Fanya uwaandikie barua TRA ya kisitisha biashara yako,kwa sababu wasipojua kwamba biashara yako ulifunga,watahesabu ulikuwa unafanya biashara,so utapigwa faini kiasi utafirisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…