Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Nilishafanya haya mda mrefu sana. Niliwaambia kabisa nimefunga naombeni mniondoe kwenye hiyo system yenu. Na nadhani watu wengi wanakosa hii elimu kwamba ukifunga Biashara ni lazima ubadilishiwe TIN irudi kuwa personal. Watu wanakuja kulia mwishoni. TRA wameshindwa kuomba kipindi cha Tv kutoa elimu kama hizi wanasubiri kuchota pesa za watu. Sawa
Mkuu usilalamike wakt unafungua biashara si ulifata utaratibu?? Na kufunga hivo hvo nenda katoe taarifa kwamba nafunga busn sio kienyeji umejiskia kufunga unafunga aisee pole sana, ukawa unakula bata hutoi taarifa [emoji28][emoji28]