Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa


Mkuu usilalamike wakt unafungua biashara si ulifata utaratibu?? Na kufunga hivo hvo nenda katoe taarifa kwamba nafunga busn sio kienyeji umejiskia kufunga unafunga aisee pole sana, ukawa unakula bata hutoi taarifa [emoji28][emoji28]
 
Fanya uwaandikie barua TRA ya kisitisha biashara yako,kwa sababu wasipojua kwamba biashara yako ulifunga,watahesabu ulikuwa unafanya biashara,so utapigwa faini kiasi utafirisika
Yes asante kwa ushauri naamini na wengine hapa wataona wakafanye kama hawajafanya. Ila mimi nilishafanya hivyo tayari. Na TIN yangu walinirudishia.
 
Nilishapeleka maombi wala sina shida nao kwenye malimbikizo. Nalalamika kwenye swala la kuanzisha. Wanakaba kiasi kwamba kama una moyo mwepesi unaweza ukaghairi kabla hujaanza.
Mkuu usilalamike wakt unafungua biashara si ulifata utaratibu?? Na kufunga hivo hvo nenda katoe taarifa kwamba nafunga busn sio kienyeji umejiskia kufunga unafunga aisee pole sana, ukawa unakula bata hutoi taarifa [emoji28][emoji2
 
Nilichogundua, hapa TZ, sera, kanuni na sheria nyingi zinatungwa na kukosa uhalisia wa mazingira yetu kwa sababu watungaji hawafanyi utafiti wa kina (Hawaendi field). Ishu ya changamoto za biashara imepigiwa kelele sana lakini malalamiko hayaishi, itakuwa kuna tatizo mahali.

Mapendekezo;

1. Iwe ni lazima kwa mwajiriwa wa TRA kuwa na biashara yoyote mjini amhayo atamwajiri mtu kuisimamia. Hii itasaidia kufahamu changamoto za biashara na kupanga kodi rafiki, tofauti na sasa wanapanga mipango yao ofisini ya kuvamia biashara za watu, jioni wanaenda kujipongeza kwa kunywa pombe.
 
Watakavyo ona hili wazo watalaani. Hawajui kabisa uchungu wa biashara.
 
Nilishapeleka maombi wala sina shida nao kwenye malimbikizo. Nalalamika kwenye swala la kuanzisha. Wanakaba kiasi kwamba kama una moyo mwepesi unaweza ukaghairi kabla hujaanza.

Sheria inakuruhusu kukadiriwa kodi na kwenda kufanya biashara tena usilipe kodi ndani ya miez6 ya mwanzo ya biashara huku ukiangalia mwenendo wa busn kama busn matarajio yatakua tofauti unaruhusiwa kwenda kufanya amendment ya kodi either kupunguziwa au kuongeza kama busn itachanganya afu kodi ulikadiriwa kidogo. Hakuna mfanyabiashara anaependa kuongezewa kodi kma kodi ni kidg aliyokadiriwa
 

Mkuu ulilipia tax clearance??
 

Mkuu hzo tozo zingine sio tra ni manispaa na taasisi zingine
 
It’s true ila mimi niliambiwa nilipe hiyo tax clearance, nikailipa vizuri na hata kipindi nafunga na kubadilisha tin iwe personal tena nilienda kumalizia ile ela ya awamu tukamalizana ila sasa nasema nao kwa sauti kubwa, watu wanaotamani kuanzisha biashara ni wengi ila masharti ya TRA na tozo ni very threatening.
 
Mkuu hzo tozo zingine sio tra ni manispaa na taasisi zingine
Ndo maana kwenye heading sijaandika TRA, nimesema Tanzania kwa ujumla. maana mfano hiyo kodi ya premise ni TBS. Manispaa wanakupa leseni baada ya kumalizana na TRA so unaona chain. Wote wako ndani ya Tanzania na wote wanajua wapi kuna shida.
 

Tax clearance hailipiwi inatolewa bure tena kwa mfanyabiashara mpya pale inaangaliwa withholding tax kama mkataba wa pango umelipiwa bhs, unapewa tax clearance kama ulilipia bhs ulipigwa
 

Upo mkoa gan tajir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…