Nataka kujua ushuru wa verossa ya 2001,CIF price ni USD 3,350.mkuu kodi za magari zinategemea mwaka wa gari na CC, so unatakiwa useme ni gari gani na cc zake ngapi plus mwaka ambao gari lilitengezwa. Kuhusu other charges unatakiwa ulitoe gari lako ndani ya siku 14 baada ya kuingia inchini. Kwa maelezo zaidi niPM