Kodi/ushuru wa magari chakavu tra

Kodi/ushuru wa magari chakavu tra

kemondo

Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Wasomi wa kod,i nielimishe kuhusu kodi za magari chakavu yanayoagizwa kutoka nje ya nchi mara yapoingia bandarini DSM kwa upande wa TRA na TPA hadi gari inaingia barabarani.Elimu hii itanisaidia mimi na wenzangu wanaoagiza magari kisha wakashindwa kuyatoa bandarini kwa sababu ya kodi lukuki.
 
mkuu kodi za magari zinategemea mwaka wa gari na CC, so unatakiwa useme ni gari gani na cc zake ngapi plus mwaka ambao gari lilitengezwa. Kuhusu other charges unatakiwa ulitoe gari lako ndani ya siku 14 baada ya kuingia inchini. Kwa maelezo zaidi niPM
 
Nataka kujua ushuru wa verossa ya 2001,CIF price ni USD 3,350.
 
Dumping fee ya asilimia 30 kwa gari la zaidi ya miaka kumi plus kodi nyingine.hivyo jitahidi kuagiza kuanzia mwaka 2013
 
nataka kuagiza honda hr-v ya mwaka 2000. 1590cc. naweza kujua gharama zake plus kodi bandarin?
 
Back
Top Bottom