Wasomi wa kod,i nielimishe kuhusu kodi za magari chakavu yanayoagizwa kutoka nje ya nchi mara yapoingia bandarini DSM kwa upande wa TRA na TPA hadi gari inaingia barabarani.Elimu hii itanisaidia mimi na wenzangu wanaoagiza magari kisha wakashindwa kuyatoa bandarini kwa sababu ya kodi lukuki.