Kodi ya Jengo: Mbona nakatwa kiwango cha juu sana?

Leo siku ya tatu hapa JF malalamiko kibao na ya kila aina, WADAU kulikoni?

Au Tozo zimezua jambo!
 
Wadau nadhani upande wa Tigo mambo hajawakalia sawa na hawakati kodi ya jengo, so chagamkieni huko. Nimenunua umeme bila kukatwa chochote sasa hivi!
 
After all, wamejuaje unaishi ghorofani? kuna jamaa anadai kakatwa kodi ya jengo kwenye biashara yake ya welding na mwingine kwenye kufyatua matofali pasipo kuwa na jengo lolote...
😁😁😁😁 Dadek tutaelewana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…