Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hizo mita zimefungwa vipi kama sio kwenye jengo ?After all, wamejuaje unaishi ghorofani? kuna jamaa anadai kakatwa kodi ya jengo kwenye biashara yake ya welding na mwingine kwenye kufyatua matofali pasipo kuwa na jengo lolote...
Anyway kuna wadau ambao wanaframe nadhani itabidi waende TRA ili mita nyingine zichomolewe kwenye mfumo wa Kodi na ibaki mita moja (ila ninavyoijua hii Serikali mpaka kuja kuchomoa hizo kwenye mfumo itachukua muda) anyway hauchelewi kwenda Tanesco kusema mimi biashara yangu ni welding wakakupandishia na Tariff kwamba una kiwanda...
Hii nchi ishakuwa ngumu....