Kodi ya kuingiza bidhaa Tanzania ni asilimia ngapi?

De marco

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
46
Reaction score
106
Wakuu , nnaitaji kununua camera from eBay, sasa naulizia ikifika kwa njia ya posta.. Nackia kuna kulipia kodi,

Je, kwa makadirio kodi utakua kiasi gani, bei ya camera ni $300....laki sita naa..

Msaada jaman wataalam Mwalimu Rct na wengine...

THANKS
 
Swali ni je, ataiona hiyo camera.. hahaha Tarrif si ya mchezo mchezo.. nadhani ni kuanzia chapta ya eight somthn..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…