Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikija kwa njia ya posta, ni kiasi kidogo cha kulipia au inawezekana usilipie kabisaWakuu , nnaitaji kununua camera from eBay, sasa naulizia ikifika kwa njia ya posta.. Nackia kuna kulipia kodi,
Pitia comment number nne hapaJe, kwa makadirio kodi utakua kiasi gani, bei ya camera ni $300....laki sita naa..
HS code ya east Africas common external tarrifs
Mkuu ukishndwa kuiona hiyo camera niambie nkuambie kode zke..Ahsanteni wakuu...kwa mchango wenu