Kodi ya laini za simu ya kila mwezi iletwe, itaisaidia sana Serikali yetu

Kodi ya laini za simu ya kila mwezi iletwe, itaisaidia sana Serikali yetu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.

Serikali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serikali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini. Kuna 200+bilion p/a.

===

Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.
 
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.
SEREKALI YETU TUKUFU TUWEKEENI KODI KWENYE KILA LAINI YA SIMU SHS 300/-KWA MWEZI, IWE ABSORBED KILA MWEZI, ILI TUBORESHE UCHUMI WETU, LAKINI FEDHA MTAKAZOZIKATA SEREKALI YETU ISIZITUMIE KWA ANASA BALI IBORESHE HUDUMA ZA KIMSINGI HASA VIJIJIN
Mtu ukiona anaandika kwa herufi ndogo na kubwa akichanganya jua kachanganyikiwa
Na sio vizuri kusikiliza ushauri wa mtu aliyechanganyikiwa kama wewe
 
Itasaidia kwenye nini ?
Mkishakaa kwa mashemeji, mkawekewa na WiFi ya bure, mnaaanza kulinganisha tanzania 🇹🇿 na matekani. Toka kwa ndugu ingia kwenye ulingo wa kutafuta shilingi, alafu uje uandike shombo zako
Marekani hufaidika sana na kodi hii, mpaka inakupeni na nyie misaada! 😁
-Nikufungue akili, #Mass taxation ndizo zinazosaidia serekali mbali mbali duniani, ukiachana na kodi za kudai kwa mtu mmoja mmoja!
 
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.

Serekali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serekali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini.
---

Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.

Nikusaidie kidogo;
Namna moja ya kuchochea uchumi ni kupunguza kodi ili kipato cha watu kiongozeke; na hii husaidia wenye uwezo (Kipato kizuri) waimarike zaidi na hivyo kubuni miradi zaidi na kuajiri watu wengi na kukuza uiogo wa kodi.

Kodi zikiwa nyingi hata wale wenye uwezo hawakui (uchumi una simama) mtu/watu wanakuwa na mradi mmoja tu huo huo miaka kadhaa ina maana malipo ya kodi ni yale yale na hawawezi kuajiri zaidi matokeo yake; kodi haiongezeki na wasio na ajira wanaongezeka...

Ukishaona mtu anawazia kutoza kodi inayowagusa hata wale wasioweza kupata milo miwili kwa siku; jua tu kuna kitu hakipo sawa kwenye uwezo wake wa kufikiri....
Kodi inasaidia maendeleo ILA isipo angaliwa vizuri inaua uchumi (walio ajiri wanakosa uwezo wa kupanua biashara na kuajiri zaidi) na kuacha Nchi ikijiendesha kwa kutegemea mikopo na vijana wengi kukosa ajira ambapo ni hatari
 
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.

Serekali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serekali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini.
---

Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.
We utakuwa mchepuko wa mwiguru
 
Nikusaidie kidogo;
Namna moja ya kuchochea uchumi ni kupunguza kodi ili kipato cha watu kiongozeke; na hii husaidia wenye uwezo (Kipato kizuri) waimarike zaidi na hivyo kubuni miradi zaidi na kuajiri watu wengi na kukuza uiogo wa kodi.

Kodi zikiwa nyingi hata wale wenye uwezo hawakui (uchumi una simama) mtu/watu wanakuwa na mradi mmoja tu huo huo miaka kadhaa ina maana malipo ya kodi ni yale yale na hawezi kuajiri matokeo yake; kodi haiongezeki na wasio na ajira wanaongezeka...

Ukishaona mtu anawazia kutoza kodi inayowagusa hata wale wasioweza kupata milo miwili kwa siku; jua tu kuna kitu hakipo sawa kwenye uwezo wake wa kufikiri....
Kodi inasaidia maendeleo ILA isipo angaliwa vizuri inaua uchumi na kuacha Nchi ikijiendesha kwa kutegemea mikopo
Ni lazima tufikiri namna ya kufanya kila mtanzania ashiriki kwa namna fulani ya ulipaji kodi japo kiduchu. (mass taxations)
 
yani ulimwengu ambao naanza kujitafuta ndo vitu vingi vinakua discovered,,bora mngegundua zamani huko tungekuja kuvikuta hata visingetuuma.
 
Back
Top Bottom