Kodi ya laini za simu ya kila mwezi iletwe, itaisaidia sana Serikali yetu

Hili jambo ni wazo tu, na haliko kwenye utekelezaji, waweza toa wazo kwa serekali kama mtanzania, likionekana linafaa litachukuliwa!
Wabanee matumizi ya serikali kwanza,Ma V8 yaninii watumie Harrier...posho,mishahara ya wabunge.yaani hizo mia 300 zinapatikana.
 
Tozo tu zilitusumbua vya kutosha unataka n hili.shida sio kukatwa shida ni Kasi ya kukatw pesa iendane n Kasi ya maendeleo ya maji madawa shule maabara, miundombinu n.k sio kukatwa weeee maendeleo hayaonekani huo ni wizi kama wizi mwingine
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.

Serikali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serikali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini. Kuna 200+bilion p/a.

===

Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.
Lituulitudumbua unataka na mengineyo
 
300 ndogo inatakiwa buku 5
 
"unatoa mbwa bandani"
 
Crocodiletooth wisdom
The richest man in China said, “If you put the bananas and money in front of the monkeys, the monkeys will choose bananas because the monkeys don't know that money can buy a lot of bananas.

In fact, if you offer WORK and BUSINESS to people, they will choose to WORK because most people don't know that a BUSINESS can make more MONEY than a salary.

One of the reasons the poor are poor is because the poor are not trained to recognize the entrepreneurial opportunity.

They spend a lot of time in school and what they learn in school is to work for a salary instead of working for themselves.

Profit is better than wages because wages can support you, but profits can make you a fortune.
 
Mkuu lengo langu ni kupunguza hata ikibidi watumishi wa TRA, twende kwenye digital, tukusanye katika very softication way as America and Europe did, kodi ikichukuliwa kwenye mass, haiumizi, pia itasaidia kuondosha kodi kichefuchefu za kijinga, itapunguza kukabana na tra, twendeni huko!

Ulicho kiandika hapa ni mada tofauti kabisa na ile ya kwanza hata hivyo kama lengo ni kwa nia ya kuokoa gharama za ukusanyaji wa kodi, mimi ningeshauri hivi;
Mfano: Unatoa mafuta/Petrol bandarini yenye kodi ya Shilingi Milioni 900 (kwa mujibu wa flow meter)
Unaishia kukusanya Milioni 700,
Kwenye kukusanya hiyo Milioni 700 unatumia gharama Milioni 150; Inamaana hapo milioni 350 imepotea Bure
Kwa nini wasichukue kodi yao mfano Mil 850 kule kule bandarini waka acha hiyo shs Mil 50 kama upotevu wakati wa usambazaji?
Wakati mwingine kunawekwa faini kubwa za kufirisi ili pengine wafidie huo upotevu japo sioni kwa nini tufikie huko, wakati tunawahitaji wafanya biashara
Najua vitabu vya wazungu au tulichosoma huko vyuoni ni tofauti LAKINI najaribu kufikiri nje ya box kwakuwa utaratibu wa wazungu umefail huku afrika naona kama unaongeza usumbufu na rushwa tu....
Bidhaa kama Sukari, Cement, mabati, Ngano nk hakungekuwa na haja ya kukimbizana na wafanya biashara huko barabarani
Samahani; haya ni mawazo yakutaka tu njia rahisi yenye matokeo Chanya (result oriented)
 
Mkuu lengo langu ni kupunguza hata ikibidi watumishi wa TRA, twende kwenye digital, tukusanye katika very softication way as America and Europe did, kodi ikichukuliwa kwenye mass, haiumizi, pia itasaidia kuondosha kodi kichefuchefu za kijinga, itapunguza kukabana na tra, twendeni huko!
Ilo swala la digital tuanze na kura kwanza za kuchagua viongozi ndo tuje kwenye kodi
 
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.

Serikali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serikali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini. Kuna 200+bilion p/a.

===

Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.

Wewe ni taira mkuu
 
Back
Top Bottom