Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #21
Ha ha ha,We utakuwa mchepuko wa mwiguru
Nashauri kariakoo iboreshwe kibiashara,, Lumumba Street mpaka mtaa wa ndanda, itengenezwe aina ya fence maalum nzuri sana (busines zone) ambayo itakuwa na entrance (maingilio rasmi) ili wanaoingia kariakoo wata declare cash zao hapo na kupewa card za kibenki, hivyo wakati wananunua bidhaa watanunua kwa ku swap madukani, maduka yote yasajiliwe na yapewe swap machine bure kabisa! Manunuzi humo ndani yasiruhusu mzunguko ya hard cash!,
N. B, kukimbizana kwa maswala ya kodi kutakwisha.
-Twendeni kwenye digital govt habari za kukimbizana kubambikiana kodi kuishe!