Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mtu ukiona anaandika kwa herufi ndogo na kubwa akichanganya jua kachanganyikiwaHili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.
SEREKALI YETU TUKUFU TUWEKEENI KODI KWENYE KILA LAINI YA SIMU SHS 300/-KWA MWEZI, IWE ABSORBED KILA MWEZI, ILI TUBORESHE UCHUMI WETU, LAKINI FEDHA MTAKAZOZIKATA SEREKALI YETU ISIZITUMIE KWA ANASA BALI IBORESHE HUDUMA ZA KIMSINGI HASA VIJIJIN
Kodi hii ije ni nzuri sana, itasaidia sana serekali yetu.Acha ujinga wewe
Itasaidia kwenye nini ?Kodi hii ije ni nzuri sana, itasaidia sana serekali yetu.
Marekani hufaidika sana na kodi hii, mpaka inakupeni na nyie misaada! 😁Itasaidia kwenye nini ?
Mkishakaa kwa mashemeji, mkawekewa na WiFi ya bure, mnaaanza kulinganisha tanzania 🇹🇿 na matekani. Toka kwa ndugu ingia kwenye ulingo wa kutafuta shilingi, alafu uje uandike shombo zako
Nakubaliana nawe kwa 100%.Kama utitiri huu wa kodi umeshindwa kusaidia serikali hata waweke kodi ya aina gani haitasaidia. Serikali ya nchi yetu inabinafisisha vyanzo vikuu vya mapato na kuanzisha kodi nyingi kandamizi Kwa wananchi.
Ha ha ha utoto bana!Kwakua wewe umeolewa na ni mama wa Nyumbani hujui uchungu wa kutafuta pesa unajiropokea tu,
Naona chupa imeamka na pombeKodi hii ije ni nzuri sana, itasaidia sana serekali yetu.
Kwenye umeme walinunua Jana wameona ongezeko halafu mtu anaamka na mambo ya hovyohovyoHuyu ni kenge kabisa! Tozo zimezidi we unaleta utaahira wako hapa???
Hili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.
Serekali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serekali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini.
---
Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.
We utakuwa mchepuko wa mwiguruHili linafanyika katika nchi nyingi huko ulimwenguni.
Serekali yetu tukufu tuwekeeni kodi kwenye kila laini ya simu shs 300/-kwa mwezi, iwe absorbed kila mwezi, ili tuboreshe uchumi wetu, lakini fedha mtakazozikata serekali yetu isizitumie kwa anasa bali iboreshe huduma za kimsingi hasa vijijini.
---
Tanzania registered approximately 67.72 million mobile connections (excluding IoT) as of 2024, up from 50.8 million in the previous year. Overall, mobile connections corresponded to over 86 percent of the country's population.
Ni lazima tufikiri namna ya kufanya kila mtanzania ashiriki kwa namna fulani ya ulipaji kodi japo kiduchu. (mass taxations)Nikusaidie kidogo;
Namna moja ya kuchochea uchumi ni kupunguza kodi ili kipato cha watu kiongozeke; na hii husaidia wenye uwezo (Kipato kizuri) waimarike zaidi na hivyo kubuni miradi zaidi na kuajiri watu wengi na kukuza uiogo wa kodi.
Kodi zikiwa nyingi hata wale wenye uwezo hawakui (uchumi una simama) mtu/watu wanakuwa na mradi mmoja tu huo huo miaka kadhaa ina maana malipo ya kodi ni yale yale na hawezi kuajiri matokeo yake; kodi haiongezeki na wasio na ajira wanaongezeka...
Ukishaona mtu anawazia kutoza kodi inayowagusa hata wale wasioweza kupata milo miwili kwa siku; jua tu kuna kitu hakipo sawa kwenye uwezo wake wa kufikiri....
Kodi inasaidia maendeleo ILA isipo angaliwa vizuri inaua uchumi na kuacha Nchi ikijiendesha kwa kutegemea mikopo
Hizi kodi zilizopo hazitoshi mkuu?Kodi hii ije ni nzuri sana, itasaidia sana serekali yetu.