Kodi ya laini za simu ya kila mwezi iletwe, itaisaidia sana Serikali yetu

We utakuwa mchepuko wa mwiguru
Ha ha ha,
Nashauri kariakoo iboreshwe kibiashara,, Lumumba Street mpaka mtaa wa ndanda, itengenezwe aina ya fence maalum nzuri sana (busines zone) ambayo itakuwa na entrance (maingilio rasmi) ili wanaoingia kariakoo wata declare cash zao hapo na kupewa card za kibenki, hivyo wakati wananunua bidhaa watanunua kwa ku swap madukani, maduka yote yasajiliwe na yapewe swap machine bure kabisa! Manunuzi humo ndani yasiruhusu mzunguko ya hard cash!,
N. B, kukimbizana kwa maswala ya kodi kutakwisha.
-Twendeni kwenye digital govt habari za kukimbizana kubambikiana kodi kuishe!
 
Unataka kuwaongezea ulaji wazee wa urefu wa kamba zao
Hizo hela zitaenda kupigwa na kupotea mikononi mwa wajanja
 
πŸ‘ Umeeleza vyema sana
 
Ni kweli, lengo la hii kodi ni kusaidia serikali sio wananchi, ije tu.
 
Usimamiz wa makusanyo na wizi unaosemekana upo ndo inaleta shida,
Lakin 300,100 au200 per month ingepush sana sema Uongozi hatuna na waliopo wengi ni wachumia tumbo na sio wazalendo
Mkuu lengo langu ni kupunguza hata ikibidi watumishi wa TRA, twende kwenye digital, tukusanye katika very softication way as America and Europe did, kodi ikichukuliwa kwenye mass, haiumizi, pia itasaidia kuondosha kodi kichefuchefu za kijinga, itapunguza kukabana na tra, twendeni huko!
 
Msikieni na huyu mwanga
Ninyi ndiyo watu janja janja tunataka ulipe japo 300-500 kwa mwezi.
Kununua ndumu mnalipa kila ndumu 3-5 kwa siku, kulipa serekali mia 5,kwa mwezi unapiga kelele!
 
Ninyi ndiyo watu janja janja tunataka ulipe japo 300-500 kwa mwezi.
Kununua ndumu mnalipa kila ndumu 3-5 kwa siku, kulipa serekali mia 5,kwa mwezi unapiga kelele!
Mm nashauri hata hewa tuwe tunalipia mia tano kwa siku itasaidia sana kuongeza kasi ya maendeleo mass taxation ndo mpango mzina ....au unasemaje chawa a.k.a kunguni kiroboto wazee wa kupenda vya kunyonga.😎
 
Haya ndiyo madhara sasa ya kuwa na elimu ya kukariri! Ubunifu wa kutafuta vyanzo vipya na rafiki vya kodi hamna! Kila siku mnawaza tu kuongeza tozo kwenye Luku, mafuta, line za simu, huduma za kifedha, nk!

Hivi mnafahamu kweli kama hii nchi ina raslimali za kila aina? Ila kwa sababu ya huu udumavu wenu wa akili, mnaona ni sahihi wageni waendelee kuzimiliki! Halafu mnawawebebesha wananchi masikini mikodi ya kila aina, ili muendelee kuishi maisha yenu ya kifahari na kifisadi! Poor you.
 
Hiyo ndogo inabidi waweke na kodi ya Hewa tunayovuta yaani hapa sisi kama serikale ya Mama na ndugu madelu naona utekelezaji uanze haraka!
 
Mm nashauri hata hewa tuwe tunalipia mia tano kwa siku itasaidia sana kuongeza kasi ya maendeleo mass taxation ndo mpango mzina ....au unasemaje chawa a.k.a kunguni kiroboto wazee wa kupenda vya kunyonga.😎
Hahaha nimecoment hivi hivi nilikua sijaona comment Yako ngosha!
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…