hilo la luku linaweza kuwa jawabu lkn bado linahitaji kuboreshwa zaidi, lkn je vipi kuhusu nyumba zisizo na umeme?Dr.Mwigulu amepropose Jambo lililo jema kweli Ambalo litarahisisha ukusanyaji wa property tax moja kwa moja, That mean NYUMBA MOJA ~LUKU MOJA.
*NAONA WAPIGA POROJO WANATAKA KUONA MPANGO HUU SIO SAHIHI.
::SEREKALI ICHUKUWE CHAKE KWANZA,WENYE MAJENGO WATABAGAIN NA WATEJA WAO LATERLY.
Ndo maana gharama ya kuweka umeme ni elf. 27 tu ili kila mtu aweke umemehilo la luku linaweza kuwa jawabu lkn bado linahitaji kuboreshwa zaidi, lkn je vipi kuhusu nyumba zisizo na umeme?
tatizo sio gharama za kuweka umeme tatizo ni uhaba wa vifaa kama vile nguzo, unaweza kukaa mwaka mzima unasubiria nguzo ya umeme!! lazima tuangalia mambo kwa uhalisia wake, usijitazame wewe au watu wanao ishi masaki, tuangalie wakazi wanao ishi pembezoni mwa miji na hata vijijini.Ndo maana gharama ya kuweka umeme ni elf. 27 tu ili kila mtu aweke umeme
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ni chache sana na kazi ya kuzihakiki itakuwa ni rahisi sana.hilo la luku linaweza kuwa jawabu lkn bado linahitaji kuboreshwa zaidi, lkn je vipi kuhusu nyumba zisizo na umeme?
kwaiyo hawatovuta umeme milele???hilo la luku linaweza kuwa jawabu lkn bado linahitaji kuboreshwa zaidi, lkn je vipi kuhusu nyumba zisizo na umeme?
Kwanza kwa huu utaratibu wa kukusanya kwa njia ya LUKU itaongeza makusanyo mnoNi chache sana na kazi ya kuzihakiki itakuwa ni rahisi sana.
ktk jambo hili coordination kati ya wizara ya Fedha kupitia TRA, wizara ya nishati na wizara ya Ardhi ni jambo muhimu sana ili kuweza kufanikisha azma ya kukusanya kodi kwa usahihi.kwaiyo hawatovuta umeme milele???
kodi za ajabu ajabu kama vile; kodi za kwato na kodi za kichwa tayari ziliisha futwa kitambo...ila tahadhari zisije zikarudi kwa style mpya.Failed state.. Natural resources zilizopo TANZANIA kweli serikali inakuja na njia za hovyo za ukusanyaji wa KODI hadi mm naona aibu SHAME ON THEM.
Hizo kodi za ajabu ajabu zinge baki huko kwenye NCHI ambazo hazina njia yoyote ile ya mapata nimeona KODI ya uzalendo kweli mbuge anainuka na kuchangia vitu kama hivyo tena huyo MP yupo humo Karibu miaka 20yrs hakuona ya kwamba tuna hitaji kodi ya UZALENDO toka hapo awali sijui.
Lawama wanaweza kupewa watangulizi waliopita katika uongozi,Awamu hii ya sita kwa GHAFLA soi rahisi kulisawazisha hilo kwa GHAFLA,Tutalazimika kuyafanya haya kwanza katika Ku sustain TAIFA HUKU RAIS WETU MPENDWA AKITAFUTA NAMNA YA KUZITUMIA KWA UHAKIKA RASILIMALI TULINAZO ITS WRONG TO BLAME MAADAM AT THIS TIME,JIULIZE KWA NINI YULE JAMAA ALIKUWA ANAPORA WATU FEDHA HUKU TAIFA HILI LIKIWA NA RASILIMALI LUKUKI?,Failed state.. Natural resources zilizopo TANZANIA kweli serikali inakuja na njia za hovyo za ukusanyaji wa KODI hadi mm naona aibu SHAME ON THEM.
Hizo kodi za ajabu ajabu zinge baki huko kwenye NCHI ambazo hazina njia yoyote ile ya mapata nimeona KODI ya uzalendo kweli mbuge anainuka na kuchangia vitu kama hivyo tena huyo MP yupo humo Karibu miaka 20yrs hakuona ya kwamba tuna hitaji kodi ya UZALENDO toka hapo awali sijui.
Hapana, huo ndio utakuwa utaratibu wa hovyo "sisemi wa kipumbavu" kuliko wote, TRA walianza kukadiria watu, nyumba moja eti kwa kuwa Ina marumaru na bati la "m south" Kodi 250,000 kwa mwaka, ndio maana rais Magufuri aliingilia Kati kuweka flat rate, Kodi kwenda ku bargain na TRA ni vyanzo vya rushwa na uonevu mkubwa, makadirio yao yanaanzia 170,000 kwenda juu, ilikuwa hailipikimakadirio ya kodi hizo zihakikiwe upya, nasema uhakiki ufanyike upya. kila jengo liwe na tozo yake kulingana na thamani ya jengo, eneo lilipo n.k
sasa unapendekeza iweje? au makadirio ya kodi ya majengo haswa kwa nyumba/majengo ambayo hayana hati miliki au hata namba, nyumba zilizopo ktk maeneo ya pembezoni mwa miji.Hapana, huo ndio utakuwa utaratibu wa hovyo "sisemi wa kipumbavu" kuliko wote, TRA walianza kukadiria watu, nyumba moja eti kwa kuwa Ina marumaru na bati la "m south" Kodi 250,000 kwa mwaka, ndio maana rais Magufuri aliingilia Kati kuweka flat rate, Kodi kwenda ku bargain na TRA ni vyanzo vya rushwa na uonevu mkubwa, makadirio yao yanaanzia 170,000 kwenda juu, ilikuwa hailipiki
Tuendeleze mawazo ya Magufuri, nyumba isiyo ya ghorofa 10,000, ghorofa moja 50,000 n.k wazee wenye nyumba zisizo na wapangaji bure, nyumba za nyasi buresasa unapendekeza iweje? au makadirio ya kodi ya majengo haswa kwa nyumba/majengo ambayo hayana hati miliki au hata namba, nyumba zilizopo ktk maeneo ya pembezoni mwa miji.
toa mapendekezo.
Uhaba wa nguzo na vifaa ni changamoto kwa serikali, kwa sababu ina malengo ya kukusanya kodi kupitia LUKU naamini changamoto hii wataifanyia kazi ili wapate Kodi zao.tatizo sio gharama za kuweka umeme tatizo ni uhaba wa vifaa kama vile nguzo, unaweza kukaa mwaka mzima unasubiria nguzo ya umeme!! lazima tuangalia mambo kwa uhalisia wake, usijitazame wewe au watu wanao ishi masaki, tuangalie wakazi wanao ishi pembezoni mwa miji na hata vijijini.