Natamani nimjue aliyetoa ilo wazoHiyo sio kodi ya jengo; ni kodi ya kununua umeme!
Zungu Yeye Alitoa Wazo Lipi Vile?😁😂😀😄natamani nimjue aliyetoa ilo wazo
Mkuu soma tangazo lote. Ni Kodi ya jengoHiyo sio kodi ya jengo; ni kodi ya kununua umeme!
Kabisa mkuu!... hiyo sio kodi ya jengo; ni kodi ya kununua umeme!
Kodi ya jengo ni elfu 10.Mkuu soma tangazo lote. Ni Kodi ya jengo
Acha sifa we jamaaKama Mwanaume nikichangia 12000 Kwa mwaka ili serikali ilete maendelo sioni tatizo ,tuache kulia lia Kama watoto, 12000 ni kitu gani
Jibu ni NDIYO! Atalipia kwa kila mitaKabisa mkuu!
.
Nakumbuka wakati flani ilikuwa kila mwezi lazima ukatwe elfu 7 ukinunua luku
Magufuli akikuja kuiondoa na sasa naona mama nae kairudisha kwa mlango wa nyuma.
Ili ujue hii ni kodi ya luku na si jengo, angalia kwa mfano mtu mwenye jengo moja lenye wapangaji wengi akaamua kila mtu amuwekee mita yake maana yake hilo jengo litalipiwa kodi kutoka kila chumba?
Kodi kubwa kuliko ghorofa.Kodi ya jengo ni elfu 10.
Sasa fikiria una jengo moja lenye vyumba 10 vya wapangaji, ukaamua kila chumba uweke mita yake ili kuepuka usumbufu kwa wapangaji. Na kila mita ikununua umeme inakatwa kodi huoni kama hilo jengo litakuwa linalipa kodi ya sh 100,000 badala ya 10,000?
Hii nchi ishafika mwishoView attachment 1897744
Naomba kuuliza maswali machache...
Majengo ambayo hayana umeme hayatakua yakilipiwa kodi?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga nyumba mbili?
CCM imekosa mbinu za kuendesha hii nchi.