Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

Serikali ya kidhalimu siku zote hukusanya kodi kwa njia za kidhalimu. Hii ndio kanuni ya serikali zote za kidikteta duniani kote.
 
Hatujafikia suluhu tozo ya miamala tushalazimishwa kuingia kodi ya majengo kupitia luku lakini kibaya wamepandisha hizo kodi....

Honestly Madame President I humbly say this is unacceptable and selfish.

Na mkumbuke kwenye mafuta pia tunawaangalia. Nawasihi watanzania anzeni kutumia umeme wa solar hasa nyumba za kupanga.

Sisi raia wa kawaida we earn a living wao they get a living.....
 
My brother soma tena imeongezeka kutoka 10k hadi 12k....
 
Mother mother fuckkk ndiyo huyu tuliye naye hana Akili arafu utasikia wapumbavuu wanaimba wanawake twaweza ,mm nilisha sema mwanamke ni mwanamke tu awezi kuwa kiongozi madhubuti
 
Hiyo kodi itapingwa mahakamani na tutashinda sababu inajina kabisa kuwa ni kodi ya jingo sasa vipi umlipishe hata asiye na jengo mpangaji
 
Wewe upo kinyume nyume ujamuelewa mama ,,,,sema itakuja kodi kwa wasio na vitambi maana mama ni rafiki wa mafisadi mabwanyenye yeye anaondoa mzigo kwa matajiri na kuwatwisha masikini kama kwenye tozo na hata kodi za majengo kama anamwondolea mmiliki kulipa kodi kwa kumtwisha mzigo mpangaji masikini
 
Naomba kuelewa huo mfumo umewekwa kufahamu kidigitali nyumba za NHC na NSSF? Maana hawa wapangaji wanakatwaje hiyo kodi ya majengo?
 
Huyu mama anawakosea Sana wanaweke wenzie hata wateleban anawapa nguvu ya kupenyeza Ile hoja yao ya wanaweke wakae home waonyeshe vyombo
 
SASA MNATAKA MAMA HELA ATOE WAPI KUKAMILISHA HII MIRADI WAKATI NI SISI TULIOKUWA TUNALALAMIKA DENI KUKUA, WATU KUPORWA HELA KWENYE ACCCOUNT ZAO, SERIKALI KUTOKUWA NA HELA... mkumbuke hii miradi ilishaanza hatuwezi kuiachia njiani na deni la Taifa ndio hilo linachezea pabaya huku pia mama hataki kupora hela kwenye maaccount..HAPA LAZIMA TUKAMUANE TU HAMNA NAMNA..
 
Sio tukamuane mkuu, tukamuliwe sijui tumeelewana? Maana wao viongozi bill zote hulipwa na serikali kwaiyo hizi pesa tunakamuliwa sisi ili kuwalipia wao ma viette na bill zingine za familia zao.... Wakati wewe na familia yako mnajilipia wenyewe!!!! (Kuna tozo, hii ya umeme, Paye, VAT, kwenye mafuta napo, leseni ya biashara, makadirio tra,) ivi izo makodi tutaboa kweli mkuu wangu?
 
Kwa kweli tuko njiapanda, sijui tuelekee wapi!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Tayari tumekopa trilioni 2.7 kwa mabeberu!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Uamuzi wa serikali kuwabebesha wapangaji wawalipie kodi ya jengo wenye nyumba kumezea chuki mitaani, wapo wapangaji wanaoishi nyumba mmoja na mmiliki na wanatumia mita moja ya umeme, wapangaji wanamtaka mwenye nyumba alipe hiyo sh.1000/= huku mwenye nyumba akisema asiyetaka kutoa ahame!

Kwa upande wa viongozi wao mambo safi kwani wamewapangisha matajiri wenzao, wao ni kupokea kodi ya pango huku mzigo wa kodi ya jengo wameutua, hongereni viongozi wetu wa Shamba la Mifugo (Animal Farm).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…