Kodi ya majengo kupitia luku iliyoletwa kinyemela, imeondolewa kinyemela!!

Sio Serikali wala Tanesco waliosema Kuna Kodi Mpya Bali walisema wali effect makato ya madeni ya nyuma,Hilo ongezeko nyie mlilitoa wapi?

Kama lingekuwa limepitishwa na Bunge makato yangeondolewa maana wa kulitoa hayupo Kwa sababu inakuwa finance Bill.
 
Mpumbavu waziri wa fedha...aondoke mara moja, namueesabia mpaka 10
 
Ufafanuzi huo si wa kweli, mimi mita yangu inazaidi ya miaka 15 na nililipishwa sh.2,000/=! Hivi sasa wamekata sh.1,500/= Hebu wasaidie kunipa ufafanuzi.
Huko Dawasa nako ni hivyohivyo, unalipa sh.15,000/= na inathibitishwa malipo yamepokelewa cha ajabu ile pesa inanyofolewa wanaita PrePaid Offset na deni linarudi kwako tena, niligundua baada ya kudai statementi, nikawaacha wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe idara moja!
 
Unataka ufafanuzi wakuletee ukiwa umekaa hapo ulipo? Hupajui ofisi ya TRA!
 
Unataka ufafanuzi wakuletee ukiwa umekaa hapo ulipo? Hupajui ofisi ya TRA!
Naona kiswahili changu kigumu, nimeandika "Hebu wasaidie", hii inamuhusu aliyeandika kuwa walitoa ufafanuzi na mimi nimeupinga kwa mfano nilioutoa unaonihusu, nasisitiza ufafanuzi ule si sahihi soma vizuri maelezo yangu utaelewa.
 
Kama umeelewa ufafanuzi wa tanesco, uwe na uhakika kuwa nawe hujielewi!!
 
Niko hapa napitia comments za mazombie mpaka nashangaa. Eti lililetwa kinyemela na kuondolewa kinyemela! Watanzania tuna mtindio wa ubongo! Hiki kitu kilielezwa kabisa na wakasema ni mwezi mmoja tu! Kizazi hiki cha malalamiko sijui kitaisha lini?
Huo ufafanuzi wa Tanesco umekuja kabla ya makato au baada ya makato ya ongezeko la 2000 Toka 1500?
 
Hayo madeni ndo tsh 500? Shughulisha kichwa chako basi siyo kilakitu unachukua kama kilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…