Msomi Livelu
Member
- Jun 21, 2024
- 24
- 30
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.
Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa vijijini na Rais wao Samia, maana kodi hii Sasa italipwa direct na sio kama mwanzo ambapo ilikuwa inalpwa kupitia luku, kupitia luku watu wengi wamelipa bila kutambua na hivyo kuondoa malalamiko, pili kupitia luku imefanya Kodi hii iwahusu watu wenye kipato cha kati na juu na sio cha chini kama itakavokuwa kuwa kupitia watendaji wa vijiji.
Mimi najiuliza waziri aliepanga hili ana agenda gani kwa muheshimiwa raisi, hasa ukizingatia mwakani ni uchaguzi mkuu na waziri anajua fika kabisa watendaji watawafuat wananchi nyumba kwa nyumba kukusanya kodi.
Na vipi Rais akubli mtego huu utakao mpa wakati mgumu kutetea kiti chake kwa kuwapa wapinzani wake agenda zitakazoeleweka kwa wapiga kura?
Mimi namshauri muheshimiwa raisi labda Kodi ya mabango ndio irudi kwa halmashauri. Ila Kodi ya nyumba ni bomu kwako, acha iendelee kwa muundo uliopo hivi Sasa, huyo waziri Hana nia njema na wewe.