Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Uzurii kodii haina rangii ccm mbele kwa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes wanatengeneza tatizo afu wanalitatua inakuwa Kama huyo ni mkombozi wa nchi.Baadae inaibuka tena njemba kama kayafa inaaza oooh mimi mtetezi wenu nafuta tozo zote kwenye miamalla shenzi Ccm na kizazi chenu chote mmetufanya mazuzu watanzania ipo mitoto ya Lumumba kazi yao kushangilia kila kitu Katiba Katiba Katiba Katibaaaa Mpyaaa na Tume Hulu ya Uchaguzi
OVYOOOOOOO.Tulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe
Hivyo ndivyo kazi inapaswa kuendelea malalamishi ya nini tenaNimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.
Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.
Tutafika kweli?
Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo.
Ukweli ni kwamba tangu June ianze hadi Sasa hivi Hari si nzuri. Pesa imeluwa ngumu. Kuna kwangu mmoja anafanya biashara Sana Sana anaishia kiwakopesha tu wateja wake afu halipwi. Upepo wa pesa si mzuri.
Leo alipoona Makato anajua kabisa hata wale wateja wa online watapungua Sasa.
Serikali hurumieni watu wenu.
Wafute chanzo kinachowaingizia zaidi ya trilioni kwa mwaka?Baadae inaibuka tena njemba kama kayafa inaaza oooh mimi mtetezi wenu nafuta tozo zote kwenye miamalla shenzi Ccm na kizazi chenu chote mmetufanya mazuzu watanzania ipo mitoto ya Lumumba kazi yao kushangilia kila kitu Katiba Katiba Katiba Katibaaaa Mpyaaa na Tume Hulu ya Uchaguzi
Tulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe
Mfanyabiashara hii wala haimgusi,ukilipa kwa simu unalipa na ya kutolea.
Mama aendelee kurembua kwa walipa kodi....Baada ya biashara za Kariakoo kufa kwa vigezo hawalipi kodi, nani alipe sasa? Hakuna nchi inayoendeshwa bila kodi. Tulipe kodi tuache kulalamika
Watatuwekea kodi mpaka kwa wake zetu aibu hawana mafisiemSerikali ya wanyonge katika ubora wao. Bado kutuwekea kodi kwenye wagonjwa wa Covid sasa.
subiri sindano iwaingie.mlisema hayati JPM ameleta hali ngumu ya maisha.i tell you sasa mfumuko wa bei uko njiani kwa kasi ya ajabuNimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.
Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.
Tutafika kweli?
Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo.
Ukweli ni kwamba tangu June ianze hadi Sasa hivi Hari si nzuri. Pesa imeluwa ngumu. Kuna kwangu mmoja anafanya biashara Sana Sana anaishia kiwakopesha tu wateja wake afu halipwi. Upepo wa pesa si mzuri.
Leo alipoona Makato anajua kabisa hata wale wateja wa online watapungua Sasa.
Serikali hurumieni watu wenu.
Sijawahi kuingia kwenye hilo genge la wapiga deal.Kama pesa kwako imekuwa ngumu basi wewe ulikuwa mpiga dili
wewe sio mzalendoSijawahi kuingia kwenye hilo genge la wapiga deal.
Hata mfano nilio toa hapo ni wa jamaa yangu mfanya biashara safi tu.
Mi huwa napata pesa yangu kwà uwazi Kabisa. Ila hii ya Makato ya kwenye kashi ninayo ipata kwà hiari yanasumbua mno akili yangu.
Acha upopoma wewe.....South Africa rais kafungwa tu watu wako barabarani ila sisi Jambo la msingi ila watu wanachekacheka tu na linapita kimya kimya
Muonyeshe walipa kodi wako wapi. Watanzania mtu akifungua genge nongwa..anakwepa kodi. sasa kuchat tunalipia, tunaanza kulialia. Haiwezekani katika watu milioni 60, asilimia tatu tu ndio wawe wanalipa kodi. Hatutakaa kuendelea. Wale walipwa mishahara mikubwa watakonda kwa mawzoMama aendelee kurembua kwa walipa kodi....
Unataka wafanyaje kwani hizo hela zikikusanywa si zitakusaidia wewe mwenyewe na watoto wako.South Africa rais kafungwa tu watu wako barabarani ila sisi Jambo la msingi ila watu wanachekacheka tu na linapita kimya kimya