Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

Baadae inaibuka tena njemba kama kayafa inaaza oooh mimi mtetezi wenu nafuta tozo zote kwenye miamalla shenzi Ccm na kizazi chenu chote mmetufanya mazuzu watanzania ipo mitoto ya Lumumba kazi yao kushangilia kila kitu Katiba Katiba Katiba Katibaaaa Mpyaaa na Tume Hulu ya Uchaguzi
Yes wanatengeneza tatizo afu wanalitatua inakuwa Kama huyo ni mkombozi wa nchi.
Mfano mzuri treni ya Arusha wao waliiuwa wenyewe akaja huyu anajiita shujaa akairudisha.
Mfano enzi za jk treni ya Kati ilikuwa inakufa ili washkaji na mwanae wafanye biashara ya semi trailer,ya matanki ya mafuta na mabasi.
Na hii sgr sijui Kama itakamilika Mana abood hapo Moro basi zitaenda wpai na bado shabiby wa moro
 
Tulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe
OVYOOOOOOO.
 
Nimetafakali Sana Sina jibu.

Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.

Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.

Tutafika kweli?

Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo.

Ukweli ni kwamba tangu June ianze hadi Sasa hivi Hari si nzuri. Pesa imeluwa ngumu. Kuna kwangu mmoja anafanya biashara Sana Sana anaishia kiwakopesha tu wateja wake afu halipwi. Upepo wa pesa si mzuri.
Leo alipoona Makato anajua kabisa hata wale wateja wa online watapungua Sasa.

Serikali hurumieni watu wenu.
Hivyo ndivyo kazi inapaswa kuendelea malalamishi ya nini tena
 
Baadae inaibuka tena njemba kama kayafa inaaza oooh mimi mtetezi wenu nafuta tozo zote kwenye miamalla shenzi Ccm na kizazi chenu chote mmetufanya mazuzu watanzania ipo mitoto ya Lumumba kazi yao kushangilia kila kitu Katiba Katiba Katiba Katibaaaa Mpyaaa na Tume Hulu ya Uchaguzi
Wafute chanzo kinachowaingizia zaidi ya trilioni kwa mwaka?
 
Tulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe

Zile rasilimali ambazo huwa mnasema tunazo mpaka wazungu wanaitamani nchi yetu ziko wapi? Kwanini msiuze hizo ili zitupunguzie huu mzigo wa double taxation?
 
Nimetafakali Sana Sina jibu.

Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.

Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.

Tutafika kweli?

Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo.

Ukweli ni kwamba tangu June ianze hadi Sasa hivi Hari si nzuri. Pesa imeluwa ngumu. Kuna kwangu mmoja anafanya biashara Sana Sana anaishia kiwakopesha tu wateja wake afu halipwi. Upepo wa pesa si mzuri.
Leo alipoona Makato anajua kabisa hata wale wateja wa online watapungua Sasa.

Serikali hurumieni watu wenu.
subiri sindano iwaingie.mlisema hayati JPM ameleta hali ngumu ya maisha.i tell you sasa mfumuko wa bei uko njiani kwa kasi ya ajabu
 
Kama pesa kwako imekuwa ngumu basi wewe ulikuwa mpiga dili
Sijawahi kuingia kwenye hilo genge la wapiga deal.

Hata mfano nilio toa hapo ni wa jamaa yangu mfanya biashara safi tu.

Mi huwa napata pesa yangu kwà uwazi Kabisa. Ila hii ya Makato ya kwenye kashi ninayo ipata kwà hiari yanasumbua mno akili yangu.
 
wewe sio mzalendo
 
South Africa rais kafungwa tu watu wako barabarani ila sisi Jambo la msingi ila watu wanachekacheka tu na linapita kimya kimya
Acha upopoma wewe.....

Na useme pia mpaka sasa wamekufa vijana zaidi ya 100 wanaopambana Zuma aachiliwe......sijui km mjukuu wake yuko katika hilo kundi.....
 
Yani wewe acha kabisa. Jana naenda kununua mbolea naambiwa elfu 80 kwa kilo 50 kutoka 52000. Nikibaki mdomo wazi nikarudi nilipotoka hata sijui tunaenda wapi. Nataman niende sehemu kulalamika ila sijui niende wapi
 
Mama aendelee kurembua kwa walipa kodi....
Muonyeshe walipa kodi wako wapi. Watanzania mtu akifungua genge nongwa..anakwepa kodi. sasa kuchat tunalipia, tunaanza kulialia. Haiwezekani katika watu milioni 60, asilimia tatu tu ndio wawe wanalipa kodi. Hatutakaa kuendelea. Wale walipwa mishahara mikubwa watakonda kwa mawzo
 
South Africa rais kafungwa tu watu wako barabarani ila sisi Jambo la msingi ila watu wanachekacheka tu na linapita kimya kimya
Unataka wafanyaje kwani hizo hela zikikusanywa si zitakusaidia wewe mwenyewe na watoto wako.
 
Back
Top Bottom