Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

Mkuu, watu hawalalamikii hizo tozo au kpdi, wanalalamikia kiwango kilichowekwa. kiwango ni kikubwa kuliko hata makato yanayofanywa na mtoa huduma. Tatizo ndio liko hapo. Hakuna aliyekataa kuilipa hiyo tozo/kodi - ila kiwango ndio tatizo. Wangeweza kuweka hata 50% tu ya makato ya mtoa huduma, kuwa ndio tozo/kodi ya serikali. Otherwise hizo MPESA/TIGO PESA na AIRTEL MONEY zitakufa natural death.
Na watanzania wengi watakosa ajira
 
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.
Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.
Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.
Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!

Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!
Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.
View attachment 1855550

Kodi inayofundishwa Vyuoni siyo hii tunayoiona Leo.

Unatoza kodi unapoingiza kitu kwenye biashara au income tax. Siyo pesa ya Mtoto kumpa Mama.

VAT inatozwa kwenye Faida ya pesa anayopata Vodacom baaa ya kutukata huduma yake ya kufanya muamala.

Hii Tozo tunakatwa kwa ajili ipi?.. Hii siyo kodi sababu itakuwa INVALID hata Mahakama inaweza kuExpunge.
 
Suala ni tozo kuwa kubwa,tulilala tulipoamka tukaambiwa tupo kwenye uchumi wa kati.leo wameongeza tozo hatujui kesho wataongeza nini kwenye umeme,maji.
 
Naona unatetea sana Kodi ili ulipwe madai yako ya kazi ya Ukandarasi. Ulikuwa unapiga sana kelele humu..
 
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.

Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.

Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.

Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!

Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!

Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.

View attachment 1855550

Kuna mama aliziita "kodi za dhuluma." Hizo nazo ni kodi pia.

Si kila kodi ni jukumu la mtanzania.

Hawa nao vipi?

IMG_20210716_182538_628.jpg

Bila kuwasahau wenye takrima za magari na majumba ya mabilioni kwa gharama zetu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Duuh,

Unatetea ujinga mkuu,

Usiwe mjinga kiasi hicho.
Hatimaye nawe umeanza kuteseka. Term hii mtatusaidia hata kudai katiba mpya[emoji3]

Wakati jiwe anatutesa watu tunapiga kelele mlikuwa mnashangilia na kutuita wapiga dili. Sasa acha hiki kikombe tukinywe wote. Uzuri wa hizi tozo hazina cha ccm, chaumma, mataga, uvccm, bavicha, sukuma gang, walinda ligasi, wazalendo, wasaliti, wanyonge wala mashetani.

Halafu tozo zimepitishwa na bunge mlilojaza maboga ya ccm kwa nguvu, mengi yakipitishwa bila kupingwa kwa mkono wa chuma wa jiwe. Mlilieni jiwe ndo kasababisha yote kisha mjililie kwa umbumbumbu wenu wa kumshangilia kila alilofanya.

Wangekuwemo wapinzani bungeni wakapinga mngewachukia na kuwaita ni wapinga maendeleo. Tulieni tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu sasa. Mtoa mada yupo sawa kabisa.

Jiwe wenu alitudanganya tupo vizuri kumbe hela zote kazichota hazina anazigawa barabarani tu kwa cash, huku akinunua kuku na mahindi ya kuchomwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.

Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.

Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.

Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!

Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!

Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.

View attachment 1855550
Kimsingi bunge letu halipaswi kujadili kodi utajadilije kodi wakati wewe haikuhusu yaani hulipi kodi na mapato yako ni makubwa na yanatokana na kodi hizohizo unapata wapi ujasili wa kuhimiza watu walipe kodi wakati wewe umetunga sheria usilipe kodi? AIBU.
 
Kodi inayofundishwa Vyuoni siyo hii tunayoiona Leo.

Unatoza kodi unapoingiza kitu kwenye biashara au income tax. Siyo pesa ya Mtoto kumpa Mama.

VAT inatozwa kwenye Faida ya pesa anayopata Vodacom baaa ya kutukata huduma yake ya kufanya muamala.

Hii Tozo tunakatwa kwa ajili ipi?.. Hii siyo kodi sababu itakuwa INVALID hata Mahakama inaweza kuExpunge.
Mwendazake aliitumia TRA Tas Forces kunyang'anya pesa wawekezaji na wafanyabiashara mchana kweupe.
Sihui zile zilikuwa kodi gani vile
 
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.

Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.

Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.

Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!

Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!

Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.

View attachment 1855550
Ukiona unacheka wakati waliokuzunguka wanalia kuwa wewe ni mchawi. Ona aibu basi!
 
Wakati tunalia TRA Task Force kutunyanyasa , wachawi mliocheka ilikuwa ninyi.
Sasa zigo la SGR na Stiglaz ni la wote.
 
Back
Top Bottom