Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.
Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.
Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.
Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata senti tano!
Hizo tozo za simu zimekaa mahali pake kabisaaa!
Mh Zungu alilielezea kwa ufasaha bungeni.
View attachment 1855550
Jidu La Mabambasi Jumbe Brown Mzee Kigogo kuna ujumbe wenu mujarab huku:
Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
Msiache kutufikishia salamu zetu kwao Daktari Mwigulu Nchemba na Mheshimiwa Zungu wanaofaudu mapato bila kodi.
😂😂😂😂!
Hiiiiii bagosha!