Kodi ya VAT ifumuliwe. It's a complex sales tax iliyojaa ujanja mwingi na upigaji. Itozwe kwenye source pekee as a sales tax na kusiwe na tax returns

Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation.

Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua. Mama mjamzito hugawana chakula na mtoto wake aliye tumboni ambacho kalipia kodi.

Tatizo letu ni huu mfumo wa VAT wa kukusanya hiyo indirect taxes za bidhaa na huduma ambazo kila mtanzania hununua. Yaani mfumo uko complex uliojaa ujanja mwingi unaotoa mianya mingi kwa pesa hizo nyingi kuishia kwenye matumbo ya wajanja.

Mfumo wenyewe uko hivi: Chukua mfano kiwanda kinachozalisha bidhaa fulani hususani sementi. Baada ya uzalishaji kiwanda kinapanga kuuza hiyo sementi TZS 10,000 kila mfuko kikiwa kimezingatia gharama na faida ya uzalishaji huo na ushindani wa soko uliopo. Serikali haingilii bei hiyo ya mwenye kiwanda (which is very good).

Badala yake inamwambia serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda aongeze TZS 2,000 kwenye kila mfuko ambayo itakuwa ni kodi ya serikali atakapoiuza (sales tax). Hadi hatua hiyo bado ni very good.

Tatizo na ujanja unaanzia baada ya hatua hiyo. Serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda kwamba hiyo TZS 2,000 kwa kila mfuko serikali itamrudishia mwenye kiwanda baada ya serikali (TRA) kupata (VAT) tax returns kutoka muuzaji wa mwisho wa rejareja (retail) aka mmachinga huko Sumbawanga.

Mwenye kiwanda huuza bidhaa zake kwa wholesalers. Hivyo mfuko mmoja wa sementi mwenye kiwanda atamuuzia wholesaler kwa TZS 12,000. Huyu wholesaler naye atapanga bei atakayoiuza hiyo sementi huko Sumbawanga akizingatia gharama ya usafirishaji, faida yake na ushindani wa soko. Bei yake inaweza ikawa TZS 15,000 kwa kila mfuko. TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kama kodi ya serikali (VAT) ambayo atarudishiwa baada huyo atakayemuuzia (retailer) kurejesha tax returns. Hivyo wholesaler atamuuzia retailer mfuko mmoja wa sementi kwa TZS 17,000.

Huyo retailer naye atapanga faida yake na kuona aiuze kwa TZS 20,000. Naye TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kwenye bei hiyo kama VAT na atoe risiti na tax returns. Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sementi anaiuza kwa mlaji kwa TZS 22,000.

Katika mfumo huo wa VAT huyo retailer anatakiwa kuandaa na kuwakilisha VAT returns za bidhaa aina zote alizouza kila mwezi ili kuwezesha hao wholesalers na wenye viwanda (source) warejeshewe hizo TZs 2,000 zao. Yeye harudishiwi cho chote.

Mlaji wa mwisho anakuwa ameongezewa TZS 2,000 mara tatu kwenye hiyo thamani ya bidhaa lakini serikali sana sana inaambulia TZS 2,000 tu! Hapo utaona kuna myanya ya wenye viwanda na wholesalers kurejeshewa hizo TZS 2,000 kwa maelewano tu na maafisa wa TRA.

Hapo utaona mapambano ya maafisa wa TRA na retailers kuhusu risiti na tax returns ambao huishia mara nyingi kwa retailers kutoa rushwa kwa maafisa hawa.

Hivyo ndivyo ulivyo mfumo huu wa VAT kwa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na ndani ya nchi. Inashangaza zaidi kuwa hata bidhaa zinazozalishwa na taasisi zinazomilikiwa kwa asilimia 100% na serikali nazo zinawekewa kodi ya serikali, yaani serikali inajitoza kodi?

Shirika kama la TANESCO miradi yake imejengwa kwa pesa yetu (kodi zetu). Hata kama baadhi ya pesa iliyotumika tulikopa nje bado kodi zetu zitalipa hilo deni letu. Ni shirika letu, sasa linawezaje kututoza kodi? Sisi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga umeme tulipe kwa bei gani ili kuwezesha kulipa mishahara na other charges (OC) za shirika letu zilizopitishwa na bunge letu la bajeti. Ziada ikipatikana inaweza kugharimia mambo mengine hususani madawa na vifaa tiba.

Hitimisho: VAT is nothing but a sales tax. Itozwe mara moja tu kwenye chanzo ya hiyo bidhaa. Kama bidhaa inazalishwa hapa nchini basi huyo mwenye kiwanda pekee ndiye atozwe/ akusanye hiyo kodi na kuiwakilisha serikalini baada ya kuuza bidhaa hiyo.

Hao wholesalers na retail sellers na machinga haiwahusu maana serikali itakuwa ilishachukua kilicho stahili yake. Kama bidhaa inatoka nje ya nchi, serikali ichukue kodi yake pale pale mipakani inapoingilia.

Kwenye zingine kama zile za kilimo na mifugo kodi hii ilipwe kwenye minada mikubwa kutoka kwa wafanya biashara wakubwa wanaonunua bidhaa hizo. Mambo ya kurudishana kodi yawe mwisho.

Kazi ya watumishi wa TRA iwe kwenye maeneo haya tu na kushirikiana na polisi kunasa bidhaa zinazoingia kwa magendo kupitia panya routes. Serikali ni moja. Mambo ya kodi za serikali za mitaa na kodi za serikali kuu (TRA) hayana maana kwa mwananchi.

Zote kwake ni za serikali, wao watajua wanagawana vipi. Mambo ya direct taxations tuachane nayo au yapunguzwe kabisa. Yana maudhi sana na kuwafanya wananchi waichukie serikali yao. Imagine kama kodi ya kichwa ikarejeshwa hata kama ni buku moja tu kwa kila kichwa kwa mwaka, unadhani itakuwaje?
Unafaa kuwa raisi wa nchi yetu kwa maoni yako mazuri. Tatizo watu wenye nia njema kama wewe hawapati nafasi hiyo.
Iko hivi serikali ni kama jitu kubwa nene sana lililokaa juu ya mabega ya mnyonge na kumtumikisha kulibeba dude hilo. Jiulize tu unadhan waliotunga hiyo sheria hawakuliona hilo uliloliona wewe? Waliliona na wanajua kuwa kwa kufanya hivo atakaeumia ni mnunuzi wa mwisho ila wakaipitisha makusudi. Hata ukishauli leo hawatabadilisha maana lengo si kumsaidia mwananchi bali kujinufaisha wao.
 
Nadhani kuna shida kidogo ya uelewa kuhusu VAT. Kwa uelewa wangu wafanyabiashara wote kuanzia mzalishaji (kiwanda) hadi muuzaji wa mwisho (rejareja) ni "mawakala" wa VAT. Kwa meneno mengine wafanyabiashara "wanatumwa" na serikali wakusanye VAT kwa niyaba yake kutoka kwa mlaji wa bidhaa au huduma husika.

Ndo kusema tozo ya VAT inahusika katika kila hatua ya ununuzi na uuzoji wa bidhaa.

Lakini kwavile anayekusudiwa kutozwa VAT ni mlaji (mnunuzi wa mwisho), serikali inalazimika kurejesha makato ya VAT kwa wafanyabiashara.

Kwa mfano, mzalishaji hukadiria dhamani (bei) ya bidhaa yake anapomuuzia muuzaji wa jumla (tufanye TZS 1000). Lakini kwakuwa mzalishaji ni wakala wa VAT (TZS 200) atauza bidhaa hiyo kwa TZS 1200. Muuzaji wa jumla naye ili apate faida ya TZS 300, atalazimika kuuza kwa TZS 1700 (1200 + 200VAT +300). Mlaji wa bidhaa husika atanunua bidhaa hiyo kwa muuzaji wa mwisho/rejareja anayehitaji kutengeneza faida ya TZS 200 kwa bei ya TZS 2100.

Kwa hesabu hizi utaona thamani ya bidhaa imeongezeka kutoka TZS 1000 kiwandani hadi TZS 2100 kwa mlaji.

Kwahiyo, hakuna mfanyabiashara anayenufaika au kupata hasara bali athari ya tozo ya VAT ni kuongezeka kwa bei (thamani) ya bidhaa kwa walaji.

Kwa mtazamo wangu, ili kupunguza ongezeko la thamani (bei) ya bidhaa kwa mlaji, muuzaji wa mwisho pekee ndo angehusika na ukusanyaji wa tozo ya VAT. Kwa mfano wa biashara hapo juu, bidhaa ingeweza kumfikia mlaji kwa thamani ya TZS 1700 badala ya TZS 2100.

Hata hivyo swali litabaki, serikali inajihakikishiaje kuwa atakayehusika na ukusanyaji wa kodi hii ni muuzaji wa mwisho na kwamba anayenunua kwake haendi kuuza bali ni mlaji wa mwisho?

Hapandipo serikali inaona haja ya kumuhusisha kila mfanyabiashara akusanye VAT anapouza bidhaa na si kubagua kati yao.
kwa nini muuzaji wa mwisho ndie alipe vat na sio wa mwanzo yaani mzalishaji
 
VAT ina ujinga mwingi sana. Huku Marekani tuliikataa.
Ni kweli. Kama USA, nchi yenye uchumi mkubwa sana duniani wanatumia a simple sales tax system badala ya multiple vat system, kwa nini sisi tunaing'ang'ania sana hii complicated vat system? Eti tutegemee mifumo kusomana. Yaani mfanya biashara mdogo aweze kumsoma wholesaler, mzalishaji na TRA. Haiwezekani. Huu mfumo wa VAT tumeuanza si zaidi ya miaka 20 iliyopita, kuna mahali tuliukopi na kupaste. Kabla ya hapo tulikuwa na mfumo wa sales tax ambao haukutupa shida yo yote. Ni vyema tukarudi huko tulikotoka.
 
TRA wanavunja rekodi harafu wanampa taarifa Mama kuwa walipa kodi wapo 2m tu Tanzania mfumo wa kodi Tanzania haupo sawa ndio maana una ujanja ujanja sana watoe hizo kodi zingine kama baadhi ya Nchi na wamefanikiwa sana kwenye Kodi huku watoza ushuru wanakusanya rushwa kubwa kuliko TRA kwa sababu wakisema kodi kubwa wanaishia kupata rushwa ili mambo yaende waweke kodi inayolipilka ili kila mtu aweze kulipa kodi.
 
Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation.

Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua. Mama mjamzito hugawana chakula na mtoto wake aliye tumboni ambacho kalipia kodi.

Tatizo letu ni huu mfumo wa VAT wa kukusanya hiyo indirect taxes za bidhaa na huduma ambazo kila mtanzania hununua. Yaani mfumo uko complex uliojaa ujanja mwingi unaotoa mianya mingi kwa pesa hizo nyingi kuishia kwenye matumbo ya wajanja.

Mfumo wenyewe uko hivi: Chukua mfano kiwanda kinachozalisha bidhaa fulani hususani sementi. Baada ya uzalishaji kiwanda kinapanga kuuza hiyo sementi TZS 10,000 kila mfuko kikiwa kimezingatia gharama na faida ya uzalishaji huo na ushindani wa soko uliopo. Serikali haingilii bei hiyo ya mwenye kiwanda (which is very good).

Badala yake inamwambia serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda aongeze TZS 2,000 kwenye kila mfuko ambayo itakuwa ni kodi ya serikali atakapoiuza (sales tax). Hadi hatua hiyo bado ni very good.

Tatizo na ujanja unaanzia baada ya hatua hiyo. Serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda kwamba hiyo TZS 2,000 kwa kila mfuko serikali itamrudishia mwenye kiwanda baada ya serikali (TRA) kupata (VAT) tax returns kutoka muuzaji wa mwisho wa rejareja (retail) aka mmachinga huko Sumbawanga.

Mwenye kiwanda huuza bidhaa zake kwa wholesalers. Hivyo mfuko mmoja wa sementi mwenye kiwanda atamuuzia wholesaler kwa TZS 12,000. Huyu wholesaler naye atapanga bei atakayoiuza hiyo sementi huko Sumbawanga akizingatia gharama ya usafirishaji, faida yake na ushindani wa soko. Bei yake inaweza ikawa TZS 15,000 kwa kila mfuko. TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kama kodi ya serikali (VAT) ambayo atarudishiwa baada huyo atakayemuuzia (retailer) kurejesha tax returns. Hivyo wholesaler atamuuzia retailer mfuko mmoja wa sementi kwa TZS 17,000.

Huyo retailer naye atapanga faida yake na kuona aiuze kwa TZS 20,000. Naye TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kwenye bei hiyo kama VAT na atoe risiti na tax returns. Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sementi anaiuza kwa mlaji kwa TZS 22,000.

Katika mfumo huo wa VAT huyo retailer anatakiwa kuandaa na kuwakilisha VAT returns za bidhaa aina zote alizouza kila mwezi ili kuwezesha hao wholesalers na wenye viwanda (source) warejeshewe hizo TZs 2,000 zao. Yeye harudishiwi cho chote.

Mlaji wa mwisho anakuwa ameongezewa TZS 2,000 mara tatu kwenye hiyo thamani ya bidhaa lakini serikali sana sana inaambulia TZS 2,000 tu! Hapo utaona kuna myanya ya wenye viwanda na wholesalers kurejeshewa hizo TZS 2,000 kwa maelewano tu na maafisa wa TRA.

Hapo utaona mapambano ya maafisa wa TRA na retailers kuhusu risiti na tax returns ambao huishia mara nyingi kwa retailers kutoa rushwa kwa maafisa hawa.

Hivyo ndivyo ulivyo mfumo huu wa VAT kwa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na ndani ya nchi. Inashangaza zaidi kuwa hata bidhaa zinazozalishwa na taasisi zinazomilikiwa kwa asilimia 100% na serikali nazo zinawekewa kodi ya serikali, yaani serikali inajitoza kodi?

Shirika kama la TANESCO miradi yake imejengwa kwa pesa yetu (kodi zetu). Hata kama baadhi ya pesa iliyotumika tulikopa nje bado kodi zetu zitalipa hilo deni letu. Ni shirika letu, sasa linawezaje kututoza kodi? Sisi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga umeme tulipe kwa bei gani ili kuwezesha kulipa mishahara na other charges (OC) za shirika letu zilizopitishwa na bunge letu la bajeti. Ziada ikipatikana inaweza kugharimia mambo mengine hususani madawa na vifaa tiba.

Hitimisho: VAT is nothing but a sales tax. Itozwe mara moja tu kwenye chanzo ya hiyo bidhaa. Kama bidhaa inazalishwa hapa nchini basi huyo mwenye kiwanda pekee ndiye atozwe/ akusanye hiyo kodi na kuiwakilisha serikalini baada ya kuuza bidhaa hiyo.

Hao wholesalers na retail sellers na machinga haiwahusu maana serikali itakuwa ilishachukua kilicho stahili yake. Kama bidhaa inatoka nje ya nchi, serikali ichukue kodi yake pale pale mipakani inapoingilia.

Kwenye zingine kama zile za kilimo na mifugo kodi hii ilipwe kwenye minada mikubwa kutoka kwa wafanya biashara wakubwa wanaonunua bidhaa hizo. Mambo ya kurudishana kodi yawe mwisho.

Kazi ya watumishi wa TRA iwe kwenye maeneo haya tu na kushirikiana na polisi kunasa bidhaa zinazoingia kwa magendo kupitia panya routes. Serikali ni moja. Mambo ya kodi za serikali za mitaa na kodi za serikali kuu (TRA) hayana maana kwa mwananchi.

Zote kwake ni za serikali, wao watajua wanagawana vipi. Mambo ya direct taxations tuachane nayo au yapunguzwe kabisa. Yana maudhi sana na kuwafanya wananchi waichukie serikali yao. Imagine kama kodi ya kichwa ikarejeshwa hata kama ni buku moja tu kwa kila kichwa kwa mwaka, unadhani itakuwaje?
Guys, hii kodi mimi imekua inanishangaza sana na kwa uhakikika sijawahi kuelewa inavyotozwa. Kwa ufupi imekua ni kipato kwa wazalishaji wanaporudishiwa na serikali kwani hakuna namna ya kuhakikisha serikali imekusanya kodi yote kwani ukwepaji ni mkubwa kwenye biashara ya rejareja. Inawezekana serikali ikawa inarudisha hela nyingi kwa wazalishaji kuliko ilizopata kwa walaji ambao ndio wanatakiwa kulipa kodi. Sasa hapo si kazi bure tu?
 
Ni kweli. Kama USA, nchi yenye uchumi mkubwa sana duniani a simple sales tax system badala ya multiple vat system, kwa nini tunaing'ang'ania? Eti tutegemee mifumo kusomana. Yaani mfanya biashara mdogo aweze kumsoma wholesaler, mzalishaji na TRA. Haiwezekani. Huu mfumo wa VAT tumeuanza si zaidi ya miaka 20 iliyopita, kuna mahali tuliukopi na kupaste. Kabla ya hapo tulikuwa na mfumo wa sales tax ambao hakutupa shida yo yote. Ni vyema tukarudi huko tulikotoka.
VAT ni fursa ya serikali ku overtax.

Serikali yetu inapenda sana ku overtax bila kuongeza kuwekeza.

Hawawezi kuiachia fursa hii.
 
kwa nini muuzaji wa mwisho ndie alipe vat na sio wa mwanzo yaani

kwa nini muuzaji wa mwisho ndie alipe vat na sio wa mwanzo yaani mzalishaji
Ili kupunguza ongezeko la thamani ya bidhaa kwa walaji na kwavile VAT haiwalengi wafanyabiashara bali mlaji wa mwisho ambaye ananua bidhaa kwa muuzaji wa mwisho.

Ulazima wa kuwahusisha wazalishaji na wachuuzi ni kutokana na ukweli kwamba serikali haiwezi kutambua iwapo mfanyabiashara ni wa mwisho na kwamba anayemuuzia bidhaa ni mlaji.
 
Nadhani kuna shida kidogo ya uelewa kuhusu VAT. Kwa uelewa wangu wafanyabiashara wote kuanzia mzalishaji (kiwanda) hadi muuzaji wa mwisho (rejareja) ni "mawakala" wa VAT. Kwa meneno mengine wafanyabiashara "wanatumwa" na serikali wakusanye VAT kwa niyaba yake kutoka kwa mlaji wa bidhaa au huduma husika.

Ndo kusema tozo ya VAT inahusika katika kila hatua ya ununuzi na uuzoji wa bidhaa.

Lakini kwavile anayekusudiwa kutozwa VAT ni mlaji (mnunuzi wa mwisho), serikali inalazimika kurejesha makato ya VAT kwa wafanyabiashara.

Kwa mfano, mzalishaji hukadiria dhamani (bei) ya bidhaa yake anapomuuzia muuzaji wa jumla (tufanye TZS 1000). Lakini kwakuwa mzalishaji ni wakala wa VAT (TZS 200) atauza bidhaa hiyo kwa TZS 1200. Muuzaji wa jumla naye ili apate faida ya TZS 300, atalazimika kuuza kwa TZS 1700 (1200 + 200VAT +300). Mlaji wa bidhaa husika atanunua bidhaa hiyo kwa muuzaji wa mwisho/rejareja anayehitaji kutengeneza faida ya TZS 200 kwa bei ya TZS 2100.

Kwa hesabu hizi utaona thamani ya bidhaa imeongezeka kutoka TZS 1000 kiwandani hadi TZS 2100 kwa mlaji.

Kwahiyo, hakuna mfanyabiashara anayenufaika au kupata hasara bali athari ya tozo ya VAT ni kuongezeka kwa bei (thamani) ya bidhaa kwa walaji.

Kwa mtazamo wangu, ili kupunguza ongezeko la thamani (bei) ya bidhaa kwa mlaji, muuzaji wa mwisho pekee ndo angehusika na ukusanyaji wa tozo ya VAT. Kwa mfano wa biashara hapo juu, bidhaa ingeweza kumfikia mlaji kwa thamani ya TZS 1700 badala ya TZS 2100.

Hata hivyo swali litabaki, serikali inajihakikishiaje kuwa atakayehusika na ukusanyaji wa kodi hii ni muuzaji wa mwisho na kwamba anayenunua kwake haendi kuuza bali ni mlaji wa mwisho?

Hapandipo serikali inaona haja ya kumuhusisha kila mfanyabiashara akusanye VAT anapouza bidhaa na si kubagua kati yao.
Uliyoandika ni kweli. Lakini huoni VAT inaenda kumathiri mlaji wa mwisho on multiple of 18%*3 kibei?
 
Ni kweli kabisa na nimeeleza hicho kitu kwamba mlolongo wa VAT unaongeza bei ya bidhaa kwa mlaji lakini ukweli ni kwamba mzigo wa kodi hii unamuelemea mlaji na si mzalishaji wala mchuuzi wa bidhaa.
 
Inaumiza kichwa...maisha yenyewe yanaumiza kichwa...wacha niendelee na maisha
Nadhani kuna shida kidogo ya uelewa kuhusu VAT. Kwa uelewa wangu wafanyabiashara wote kuanzia mzalishaji (kiwanda) hadi muuzaji wa mwisho (rejareja) ni "mawakala" wa VAT. Kwa meneno mengine wafanyabiashara "wanatumwa" na serikali wakusanye VAT kwa niyaba yake kutoka kwa mlaji wa bidhaa au huduma husika.

Ndo kusema tozo ya VAT inahusika katika kila hatua ya ununuzi na uuzoji wa bidhaa.

Lakini kwavile anayekusudiwa kutozwa VAT ni mlaji (mnunuzi wa mwisho), serikali inalazimika kurejesha makato ya VAT kwa wafanyabiashara.

Kwa mfano, mzalishaji hukadiria dhamani (bei) ya bidhaa yake anapomuuzia muuzaji wa jumla (tufanye TZS 1000). Lakini kwakuwa mzalishaji ni wakala wa VAT (TZS 200) atauza bidhaa hiyo kwa TZS 1200. Muuzaji wa jumla naye ili apate faida ya TZS 300, atalazimika kuuza kwa TZS 1700 (1200 + 200VAT +300). Mlaji wa bidhaa husika atanunua bidhaa hiyo kwa muuzaji wa mwisho/rejareja anayehitaji kutengeneza faida ya TZS 200 kwa bei ya TZS 2100.

Kwa hesabu hizi utaona thamani ya bidhaa imeongezeka kutoka TZS 1000 kiwandani hadi TZS 2100 kwa mlaji.

Kwahiyo, hakuna mfanyabiashara anayenufaika au kupata hasara bali athari ya tozo ya VAT ni kuongezeka kwa bei (thamani) ya bidhaa kwa walaji.

Kwa mtazamo wangu, ili kupunguza ongezeko la thamani (bei) ya bidhaa kwa mlaji, muuzaji wa mwisho pekee ndo angehusika na ukusanyaji wa tozo ya VAT. Kwa mfano wa biashara hapo juu, bidhaa ingeweza kumfikia mlaji kwa thamani ya TZS 1700 badala ya TZS 2100.

Hata hivyo swali litabaki, serikali inajihakikishiaje kuwa atakayehusika na ukusanyaji wa kodi hii ni muuzaji wa mwisho na kwamba anayenunua kwake haendi kuuza bali ni mlaji wa mwisho?

Hapandipo serikali inaona haja ya kumuhusisha kila mfanyabiashara akusanye VAT anapouza bidhaa na si kubagua kati yao.
 
kwa nini muuzaji wa mwisho ndie alipe vat na sio wa mwanzo yaani mzalishaji
Tatizo ni ugumu na gharama kubwa wa kumpata na kumfuatilia huyo muuzaji wa mwisho aka wa reja reja. Hawa ni wengi. Ni wengi sana na wako kwenye kila kichochoro cha nchi yetu hii kubwa.

Wazalishaji ni wachache. Wanajulikana sehemu waliko. TRA ni rahisi kuwafikia, wakaona kilichozalishwa na kukiwekea lable ya TRA. Watajua kiasi kilichouzwa na vat yake kwa usahihi bila udanganyifu wo wote. Vivyo hivyo kwa bidhaa zinazoingia kwenye mipaka yetu rasmu kutoka nje.

Ifananishe VAT na chumvi ya iodine inayozuia uvimbe wa tezi ya shingo (goiter). Ni rahisi sana kuifikisha chumvi hii kwa kila mwananchi kama utaiweka kwenye vyanzo vyao vya maji ya kunywa ie kwenye uzalishaji. Utapata taabu sana kuifikisha kwa kila mwananchi kama utatumia njia ya kumfikia kila mwananchi nyumbani kwake na kumwekea chumvi hiyo kwenye mtungi wake wa maji ya kunywa ie retailers. Kwanza utakuwa una mkera na unaweza kusambabisha ugomvi na yeye. Hivyo njia rahisi ni hiyo kwenye chanzo bila hata yeye kujua kwamba kawekewa chumvi ya vat! Atainywa tu. Hata huyo retailer na wholesaler wala hatajua kabeba na chumvi ya vat kwenye bidhaa anazouza. Very simple lakini TRA njia hiyo hawaitaki kwani itawanyima masilahi yao binafsi. Inabidi Mama asimame kidete.
 
VAT inatokaje 1,800/= kwa mzalishaji kurudi 900/= kwa muuzaji mkubwa na mdogo? Wakati thamani ya bidhaa inaongezeka thamani kwenye mchakato mzima?
Kumbuka, mzalishaji na muuzaji wa bidhaa ni wakala tubwa kukusanya na kuwasilisha VAT katika kila hatua katika mnyororo wa thamani.

VAT Inayowasilishwa sio jumla ya vat anayotoza muuzaji katika hatua husila, kinachowasilishwa ni ile ziada ya VAT baada ya kutoa kiasi alicholipa kama VAT katika manunuzi.

Amount of Vat remitted = Output tax - Input tax

Katika hatua ya kwanza;
Output tax = Price exclusive of Vat * VAT rate.
Output tax = 10,000 * 18% = 1,800
Input tax katika hatua ya kwanza, kwa data alizotoa jamaa katika mfano ni 0.
Vat remitted stage one = 1,800- 0 = 1,800.

Vat in stage two;
Output tax = 15,000*18% = 2,700
Input tax = 10,000*18% = 1,800
Amount of vat remitted = Excess of output tax over input tax
Amount of vat remitted = 2,700 - 1800 = 900

Vat in stage three;
Output tax = 20,000*18% = 3,600
Input tax = 15,000* 18% = 2,700
Amount of vat remitted = excess of output tax over the input tax.
Amount of vat remitted = 3,600 -2,700 = 900

Kama muuzaji wa mwisho amepiga 20,000/=×18%=3,600/= Inakuwaje anarudisha 900/= wakati mnunuzi amelipa yote?
Dhana ya kwamba VAT ni kodi ya mlaji ipo hapa. Mzalishaji na wauzaji katika kila hatua ni mawakala tu TRA katika kutoza, kukusanya na kuwasilisha hiyo vat kwa mamlaka. Katika kufanya hivyo, hawalipwi,nisipokua, bakshishi yao (incentive) kwa huduma hiyo ni kujilipa kiasi sawa na kile walicholipa kama VAT katika manunuzi ya bidhaa husika (recover input vat from output vat). Ziada ndio huwasilishwa tra katika kila hatua.

Vat katika mfuko huo mpaka inamfikia mlaji hukukotolewa hivi;

Hatua ya kwanza mzalishaji hakua na cha kujilipa, kwa mujibu wa data katika mfano anawasilisha 1,800.

Hatua ya pili; baada ya kujilipa kile alicholipa wakati ananunua toka kwa mzalishaji, anabaki na ziada vat, anawasilisha 900

Hatua ya tatu, baada ya kujilipa kile alicholipa kama vat kutoka katika manunuzi ya mfuko toka kwa muuzaji wa jumla, anabaki na ziada ya vat, anawasilisha tra 900.

Jumla ya Vat iliyowasilishwa katika kila hatua= 1,800 +900 +900 = 3,600

Kumbuka muuzaji wa reja reja ametoza 3,600 kama vat (20,000*18%) kwa mlaji, ambaye ndio mlengwa kulipa hiyo.

Kwahyo,
Jumla ya vat iliyowasilishwa katika kila hatua = vat iliyolipwa na mlaji.

NB:
Athari ya moja kwa moja ni kuongezeka kwa gharama (bei ya kununua) kwa mlaji. Tozo, kusabyo na wasilisho ya VAT haliathiri maslahi ya mzalishaji na muuzaji kwa maana ya kwamba, faida yake baada ya kutoa gharama hazigushi na vat.

Kwa mujibu wa mfano huo,.
Mzalishaji anaondoka na 10,000 baada ya kutoa gharama zake.
Muuzaji wa jumla anaondoka na faida yake ya 5,000 (15,000 - 10,000)
Vivyo hivyo, muuzaji wa reja reja anaondoka ka faida yake ya 5,000 (20,000 -15,000)
 
Uliyoandika ni kweli. Lakini huoni VAT inaenda kumathiri mlaji wa mwisho on multiple of 18%*3 kibei?
Calculation haifanyiki katika namna hii.

Kinacholipwa/wasilishwa na muuzaji wa hatu moja kama VAT= 18% ya kiasi anachotoza katika mauzo kwa mlaji au muuzaji kwa hatua inayofuata - 18% ya kiasi alicholipa katika manunuzi toka kwa muuzaji wa hatua iliyopita.
 
Ndivyo ilivyo, mlaji wa mwisho atakutana na VAT ngapi?

Je VAT ya mzalishaji na Wholesaler haimfikii mlaji wa mwisho/haiathiri kiasi cha bei cumulative effect?
 
Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation.

Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua. Mama mjamzito hugawana chakula na mtoto wake aliye tumboni ambacho kalipia kodi.

Tatizo letu ni huu mfumo wa VAT wa kukusanya hiyo indirect taxes za bidhaa na huduma ambazo kila mtanzania hununua. Yaani mfumo uko complex uliojaa ujanja mwingi unaotoa mianya mingi kwa pesa hizo nyingi kuishia kwenye matumbo ya wajanja.

Mfumo wenyewe uko hivi: Chukua mfano kiwanda kinachozalisha bidhaa fulani hususani sementi. Baada ya uzalishaji kiwanda kinapanga kuuza hiyo sementi TZS 10,000 kila mfuko kikiwa kimezingatia gharama na faida ya uzalishaji huo na ushindani wa soko uliopo. Serikali haingilii bei hiyo ya mwenye kiwanda (which is very good).

Badala yake inamwambia serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda aongeze TZS 2,000 kwenye kila mfuko ambayo itakuwa ni kodi ya serikali atakapoiuza (sales tax). Hadi hatua hiyo bado ni very good.

Tatizo na ujanja unaanzia baada ya hatua hiyo. Serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda kwamba hiyo TZS 2,000 kwa kila mfuko serikali itamrudishia mwenye kiwanda baada ya serikali (TRA) kupata (VAT) tax returns kutoka muuzaji wa mwisho wa rejareja (retail) aka mmachinga huko Sumbawanga.

Mwenye kiwanda huuza bidhaa zake kwa wholesalers. Hivyo mfuko mmoja wa sementi mwenye kiwanda atamuuzia wholesaler kwa TZS 12,000. Huyu wholesaler naye atapanga bei atakayoiuza hiyo sementi huko Sumbawanga akizingatia gharama ya usafirishaji, faida yake na ushindani wa soko. Bei yake inaweza ikawa TZS 15,000 kwa kila mfuko. TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kama kodi ya serikali (VAT) ambayo atarudishiwa baada huyo atakayemuuzia (retailer) kurejesha tax returns. Hivyo wholesaler atamuuzia retailer mfuko mmoja wa sementi kwa TZS 17,000.

Huyo retailer naye atapanga faida yake na kuona aiuze kwa TZS 20,000. Naye TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kwenye bei hiyo kama VAT na atoe risiti na tax returns. Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sementi anaiuza kwa mlaji kwa TZS 22,000.

Katika mfumo huo wa VAT huyo retailer anatakiwa kuandaa na kuwakilisha VAT returns za bidhaa aina zote alizouza kila mwezi ili kuwezesha hao wholesalers na wenye viwanda (source) warejeshewe hizo TZs 2,000 zao. Yeye harudishiwi cho chote.

Mlaji wa mwisho anakuwa ameongezewa TZS 2,000 mara tatu kwenye hiyo thamani ya bidhaa lakini serikali sana sana inaambulia TZS 2,000 tu! Hapo utaona kuna myanya ya wenye viwanda na wholesalers kurejeshewa hizo TZS 2,000 kwa maelewano tu na maafisa wa TRA.

Hapo utaona mapambano ya maafisa wa TRA na retailers kuhusu risiti na tax returns ambao huishia mara nyingi kwa retailers kutoa rushwa kwa maafisa hawa.

Hivyo ndivyo ulivyo mfumo huu wa VAT kwa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na ndani ya nchi. Inashangaza zaidi kuwa hata bidhaa zinazozalishwa na taasisi zinazomilikiwa kwa asilimia 100% na serikali nazo zinawekewa kodi ya serikali, yaani serikali inajitoza kodi?

Shirika kama la TANESCO miradi yake imejengwa kwa pesa yetu (kodi zetu). Hata kama baadhi ya pesa iliyotumika tulikopa nje bado kodi zetu zitalipa hilo deni letu. Ni shirika letu, sasa linawezaje kututoza kodi? Sisi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga umeme tulipe kwa bei gani ili kuwezesha kulipa mishahara na other charges (OC) za shirika letu zilizopitishwa na bunge letu la bajeti. Ziada ikipatikana inaweza kugharimia mambo mengine hususani madawa na vifaa tiba.

Hitimisho: VAT is nothing but a sales tax. Itozwe mara moja tu kwenye chanzo ya hiyo bidhaa. Kama bidhaa inazalishwa hapa nchini basi huyo mwenye kiwanda pekee ndiye atozwe/ akusanye hiyo kodi na kuiwakilisha serikalini baada ya kuuza bidhaa hiyo.

Hao wholesalers na retail sellers na machinga haiwahusu maana serikali itakuwa ilishachukua kilicho stahili yake. Kama bidhaa inatoka nje ya nchi, serikali ichukue kodi yake pale pale mipakani inapoingilia.

Kwenye zingine kama zile za kilimo na mifugo kodi hii ilipwe kwenye minada mikubwa kutoka kwa wafanya biashara wakubwa wanaonunua bidhaa hizo. Mambo ya kurudishana kodi yawe mwisho.

Kazi ya watumishi wa TRA iwe kwenye maeneo haya tu na kushirikiana na polisi kunasa bidhaa zinazoingia kwa magendo kupitia panya routes. Serikali ni moja. Mambo ya kodi za serikali za mitaa na kodi za serikali kuu (TRA) hayana maana kwa mwananchi.

Zote kwake ni za serikali, wao watajua wanagawana vipi. Mambo ya direct taxations tuachane nayo au yapunguzwe kabisa. Yana maudhi sana na kuwafanya wananchi waichukie serikali yao. Imagine kama kodi ya kichwa ikarejeshwa hata kama ni buku moja tu kwa kila kichwa kwa mwaka, unadhani itakuwaje?
Uchambuzi mjarab ila nasubiri analysis ya Mayor Quimby ili nitoke na kitu kamili
 
Tatizo ni ugumu na gharama kubwa wa kumpata na kumfuatilia huyo muuzaji wa mwisho aka wa reja reja. Hawa ni wengi. Ni wengi sana na wako kwenye kila kichochoro cha nchi yetu hii kubwa.

Wazalishaji ni wachache. Wanajulikana sehemu waliko. TRA ni rahisi kuwafikia, wakaona kilichozalishwa na kukiwekea lable ya TRA. Watajua kiasi kilichouzwa na vat yake kwa usahihi bila udanganyifu wo wote. Vivyo hivyo kwa bidhaa zinazoingia kwenye mipaka yetu rasmu kutoka nje.

Ifananishe VAT na chumvi ya iodine inayozuia uvimbe wa tezi ya shingo (goiter). Ni rahisi sana kuifikisha chumvi hii kwa kila mwananchi kama utaiweka kwenye vyanzo vyao vya maji ya kunywa ie kwenye uzalishaji. Utapata taabu sana kuifikisha kwa kila mwananchi kama utatumia njia ya kumfikia kila mwananchi nyumbani kwake na kumwekea chumvi hiyo kwenye mtungi wake wa maji ya kunywa ie retailers. Kwanza utakuwa una mkera na unaweza kusambabisha ugomvi na yeye. Hivyo njia rahisi ni hiyo kwenye chanzo bila hata yeye kujua kwamba kawekewa chumvi ya vat! Atainywa tu. Hata huyo retailer na wholesaler wala hatajua kabeba na chumvi ya vat kwenye bidhaa anazouza. Very simple lakini TRA njia hiyo hawaitaki kwani itawanyima masilahi yao binafsi. Inabidi Mama asimame kidete.

Bado hujakwepa kuifuata VAT kwa muuzaji wa mwisho, kwani ndo maana TRA wanakimbizana na kuhimiza kudai risiti huku mwishoni ili kuhakikisha inaingia kwenye mfumo wao/kama risiti ni genuine. Ila kutokana na gharama kupanda/bei, hapo ndo mteja hukubali kuchukua bidhaa kwa bei ndogo kwa risiti feki/isiyo na bei halisi au bila risiti kabisa(Ukitaka risiti kamili 1,500,000/= vs tukupe ya kutembelea kwa 1,000,000/= au weka lwenye begibila risiti 800,000/=).

Lengo ni:
1: Muuzaji aweze kuuza na ikiwezekana kwa fsida kubwa.
2: Muuzaji atakuwa na VAT return ndogo.
3: Tathimini/mantiki ya hizi kodi kutokujulikana vyema kwa watu.

NB: Hapa ndo mtu anapozungumzia idadi ya walipa kodi Tanzania unaishangaa, anahesabu kodi ipi?

Labda kwa kodi aina fulani tu mfano: wafanyakazi na PAYE. Hivyo, indirectly kila mtanzania analipa kodi labda kama hununui kitu kilichozalishwa rasmi kwenye mfumo.
 
Ndivyo ilivyo, mlaji wa mwisho atakutana na VAT ngapi?

Je VAT ya mzalishaji na Wholesaler haimfikii mlaji wa mwisho/haiathiri kiasi cha bei cumulative effect?
Kimsingi, kwa mfano huo, mlaji analipa 3,600 kama VAT. Na ndo amebeba wote hao, mzalishaji na wauzaji.

VAT ya mzalishaji na wauzaji wote imebebwa na huyo mlaji.
 
Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation.

Mfumo huu ni very friendly na hakuna mtu wa kuukwepa hata kama ni mtoto mchanga. Kodi hii iko kwenye kila bidhaa au huduma anayonunua. Mama mjamzito hugawana chakula na mtoto wake aliye tumboni ambacho kalipia kodi.

Tatizo letu ni huu mfumo wa VAT wa kukusanya hiyo indirect taxes za bidhaa na huduma ambazo kila mtanzania hununua. Yaani mfumo uko complex uliojaa ujanja mwingi unaotoa mianya mingi kwa pesa hizo nyingi kuishia kwenye matumbo ya wajanja.

Mfumo wenyewe uko hivi: Chukua mfano kiwanda kinachozalisha bidhaa fulani hususani sementi. Baada ya uzalishaji kiwanda kinapanga kuuza hiyo sementi TZS 10,000 kila mfuko kikiwa kimezingatia gharama na faida ya uzalishaji huo na ushindani wa soko uliopo. Serikali haingilii bei hiyo ya mwenye kiwanda (which is very good).

Badala yake inamwambia serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda aongeze TZS 2,000 kwenye kila mfuko ambayo itakuwa ni kodi ya serikali atakapoiuza (sales tax). Hadi hatua hiyo bado ni very good.

Tatizo na ujanja unaanzia baada ya hatua hiyo. Serikali inamwambia huyo mwenye kiwanda kwamba hiyo TZS 2,000 kwa kila mfuko serikali itamrudishia mwenye kiwanda baada ya serikali (TRA) kupata (VAT) tax returns kutoka muuzaji wa mwisho wa rejareja (retail) aka mmachinga huko Sumbawanga.

Mwenye kiwanda huuza bidhaa zake kwa wholesalers. Hivyo mfuko mmoja wa sementi mwenye kiwanda atamuuzia wholesaler kwa TZS 12,000. Huyu wholesaler naye atapanga bei atakayoiuza hiyo sementi huko Sumbawanga akizingatia gharama ya usafirishaji, faida yake na ushindani wa soko. Bei yake inaweza ikawa TZS 15,000 kwa kila mfuko. TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kama kodi ya serikali (VAT) ambayo atarudishiwa baada huyo atakayemuuzia (retailer) kurejesha tax returns. Hivyo wholesaler atamuuzia retailer mfuko mmoja wa sementi kwa TZS 17,000.

Huyo retailer naye atapanga faida yake na kuona aiuze kwa TZS 20,000. Naye TRA itamwambia aongeze TZS 2,000 kwenye bei hiyo kama VAT na atoe risiti na tax returns. Hivyo bei ya mfuko mmoja wa sementi anaiuza kwa mlaji kwa TZS 22,000.

Katika mfumo huo wa VAT huyo retailer anatakiwa kuandaa na kuwakilisha VAT returns za bidhaa aina zote alizouza kila mwezi ili kuwezesha hao wholesalers na wenye viwanda (source) warejeshewe hizo TZs 2,000 zao. Yeye harudishiwi cho chote.

Mlaji wa mwisho anakuwa ameongezewa TZS 2,000 mara tatu kwenye hiyo thamani ya bidhaa lakini serikali sana sana inaambulia TZS 2,000 tu! Hapo utaona kuna myanya ya wenye viwanda na wholesalers kurejeshewa hizo TZS 2,000 kwa maelewano tu na maafisa wa TRA.

Hapo utaona mapambano ya maafisa wa TRA na retailers kuhusu risiti na tax returns ambao huishia mara nyingi kwa retailers kutoa rushwa kwa maafisa hawa.

Hivyo ndivyo ulivyo mfumo huu wa VAT kwa bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na ndani ya nchi. Inashangaza zaidi kuwa hata bidhaa zinazozalishwa na taasisi zinazomilikiwa kwa asilimia 100% na serikali nazo zinawekewa kodi ya serikali, yaani serikali inajitoza kodi?

Shirika kama la TANESCO miradi yake imejengwa kwa pesa yetu (kodi zetu). Hata kama baadhi ya pesa iliyotumika tulikopa nje bado kodi zetu zitalipa hilo deni letu. Ni shirika letu, sasa linawezaje kututoza kodi? Sisi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga umeme tulipe kwa bei gani ili kuwezesha kulipa mishahara na other charges (OC) za shirika letu zilizopitishwa na bunge letu la bajeti. Ziada ikipatikana inaweza kugharimia mambo mengine hususani madawa na vifaa tiba.

Hitimisho: VAT is nothing but a sales tax. Itozwe mara moja tu kwenye chanzo ya hiyo bidhaa. Kama bidhaa inazalishwa hapa nchini basi huyo mwenye kiwanda pekee ndiye atozwe/ akusanye hiyo kodi na kuiwakilisha serikalini baada ya kuuza bidhaa hiyo.

Hao wholesalers na retail sellers na machinga haiwahusu maana serikali itakuwa ilishachukua kilicho stahili yake. Kama bidhaa inatoka nje ya nchi, serikali ichukue kodi yake pale pale mipakani inapoingilia.

Kwenye zingine kama zile za kilimo na mifugo kodi hii ilipwe kwenye minada mikubwa kutoka kwa wafanya biashara wakubwa wanaonunua bidhaa hizo. Mambo ya kurudishana kodi yawe mwisho.

Kazi ya watumishi wa TRA iwe kwenye maeneo haya tu na kushirikiana na polisi kunasa bidhaa zinazoingia kwa magendo kupitia panya routes. Serikali ni moja. Mambo ya kodi za serikali za mitaa na kodi za serikali kuu (TRA) hayana maana kwa mwananchi.

Zote kwake ni za serikali, wao watajua wanagawana vipi. Mambo ya direct taxations tuachane nayo au yapunguzwe kabisa. Yana maudhi sana na kuwafanya wananchi waichukie serikali yao. Imagine kama kodi ya kichwa ikarejeshwa hata kama ni buku moja tu kwa kila kichwa kwa mwaka, unadhani itakuwaje?

Mfuko ovyo kabisa. Ni demonic kabisa
 
Kimsingi, kwa mfano huo, mlaji analipa 3,600 kama VAT. Na ndo amebeba wote hao, mzalishaji na wauzaji.

VAT ya mzalishaji na wauzaji wote imebebwa na huyo mlaji.
Ukiangalia kwa jicho la ndani zaidi, inazidi kwani. 18% ya mwanzo inaenda kujumuishwa kwenye 18% ya pili pia hizi zote zinaenda kujumuishwa kwenye hesabu ya mwisho kama multiple ya kila moja, ukiacha jumla yake kuu.

Yaani:
1: Mzalishaji: VAT 18%
2: Muuzaji jumla: VAT1*18% + VAT18%
3: Rejareja VAT1×18%+VAT2×18%+VAT3

Suluhisho: A
1: Mzalishaji: VAT 18% ya uzalishaji na faida yake.
2: Muuzaji jumla: VAT Gharama zilizoongezeka kutoka 1 hapo juu na faida yake × 18%
3: Gharama zilizoongezeka kutoka2 na faida yake ×18%

AU
SuluhishoB
Kila bei kwenye stage zote tatu itozwe kila moja itozwe 6%, 6%×3 stages=18%

Athari itapungua japo bado uhalisia upo mbali.
 
Back
Top Bottom