Huko serikali imelala, bidhaa zinapita mipakani bila udhibiti hivyo Bei yao inakuwa chini sanaSasa hivi wabongo wanaenda kununua bidhaa Uganda zilizopitia bandari ya dar.
thats not true. hakuna serikali ilio lala,ni matter of priority. si lazima nchi zote zifanane kwenye kodiHuko serikali imelala, bidhaa zinapita mipakani bila udhibiti hivyo Bei yao inakuwa chini sana
Kwamba jambo hilo la kodi nafuu lilianza alipoingia Mwinyi? Miaka ya 2000 mpaka 2008 nimenunua vitu zenji kwa bei nafuu tofauti na bara, mwendazake alikuwa nani? Na Mwinyi?Hii variation ya tax rates Kati ya Tanganyika na Zanzibar inatokana na mitazamo ya wakuu wa nchi. Rais Mwinyi wa Zanzibar si muumini wa kodi kandamizi au kodi yenye elementi zozote za dhuluma ila kwa upande wa Tanganyika hizi kodi kandamizi asili yake hasa ni mtazamo mbovu aliokuwa nao Mwendazake. Ila kwa awamu Hii ya sita tutegemee neema kwasababu Mama ameshafanya declaration kabisa kuwa bora kukosa mapato kuliko kuwa na mapato yatokanayo na dhuluma. So tumpe Mama muda ni imani yangu good time is just around the corner
Kwa sasa nipo hapa Tunduma Kuna vitenge na kanga zinatoka Zambia bei poa usipime, nilipohoji wakasema ni wale wafanyabiashara waliokua na maduka pale kariakoo baada ya serikali ya kijambazi na kishetani kuwafanyia kitu mbaya wakaona isiwe shida.Sasa hivi wabongo wanaenda kununua bidhaa Uganda zilizopitia bandari ya dar.
from laki 7 to 80,000 kwann asihame? lazima tufanyie marekebisho kodi zetuKwa sasa nipo hapa Tunduma Kuna vitenge na kanga zinatoka Zambia bei poa usipime, nilipohoji wakasema ni wale wafanyabiashara waliokua na maduka pale kariakoo baada ya serikali ya kijambazi na kishetani kuwafanyia kitu mbaya wakaona isiwe shida.
Na vile vile nina mzee wangu alikua na duka upande wa Tanzania alikua anatozwa kodi laki 7 alipoona inamkata alihamia upande wa Zambia sasa kule analipia elfu 80 ya kitanzania kwa duka lile lile hebu ona maajabu hayo na kule ikitokea huo mwaka hujalipa wakija mwakani au ukienda mwenyewe kulipia hawakuulizi mambo ya mwaka jana.
Ukiona mfanyabiashara anafanya kitu ujue ndiyo kinacholipa.Nashangaa eti wafanyabiashara wengi wa nguo wanafuata nguo Uganda!!
Huu muziki huwa haulembi atakapo anza kukosa mishahara ndo ataelewa kodi kandamizi, polisi fine, permit fee na vyanzo vingine vinakujaje!!.. kunatatizo la kimfumo ambapo mfumo ili ujengeke ni lazima uwe na watu waliokubaliana kuujenga na kuuheshimu ...ila mkisigana kwa ubinafsi, majigambo, kutafuta sifa nk. Usitegemee kuona nuru.Hii variation ya tax rates Kati ya Tanganyika na Zanzibar inatokana na mitazamo ya wakuu wa nchi. Rais Mwinyi wa Zanzibar si muumini wa kodi kandamizi au kodi yenye elementi zozote za dhuluma ila kwa upande wa Tanganyika hizi kodi kandamizi asili yake hasa ni mtazamo mbovu aliokuwa nao Mwendazake.
Ila kwa awamu Hii ya sita tutegemee neema kwasababu Mama ameshafanya declaration kabisa kuwa bora kukosa mapato kuliko kuwa na mapato yatokanayo na dhuluma. So tumpe Mama muda ni imani yangu good time is just around the corner
hapo mwanzo umeandika nothing but dua la kuku. serikal haijawahi kosa mshahara hata siku moja.Huu mziki huwa haulembi atakapo anza kukosa mishahara ndo ataelewa kodi kandami, polisi fine, permit fee na vyanzo vingine vinakujaje!!.. kunatatizo la kimfumo ambapo mfumo ili ujengeke ni lazima uwe na watu waliokubaliana kuujenga na kuheshimu ...ila mkisigana kwa ubinafsi, majigambo, kutafuta sifa nk. Usitegemee kuona nuru.
Dua la kuku hahaha! Hujui hata unachojaribu kukifiria... Anyway nachokiona uwezo wako ni mdogo sana kwenye expenditure za nchi hii. Nakuacha kama ulivyo.hapo mwanzo umeandika nothing but dua la kuku. serikal haijawahi kosa mshahara hata siku moja.
Kodi itaendelea kukusanywa kama kawaida.
kodi kandamizi na mambo mengine ndio vinafanya watu waone wanaonewa.. scorching earth method inajenga uadui kati ya mlipa kodi na serikali
hahaha naona umejib nothing but ngonjera. try to hit the point man.Dua la kuku hahaha! Hujui hata unachojaribu kukifiria... Anyway nachokiona uwezo wako ni mdogo sana kwenye expenditure za nchi hii. Nakuacha kama ulivyo.