Kodi za Tanzania Bara zifanane na za Zanzibar

Kodi za Tanzania Bara zifanane na za Zanzibar

Kodi ndio uchumi wa nchi, hakuna nchi yoyote inayojitambua ambayo haikusanyi kodi, kwa Tz kinachotakiwa si kupunguza kodi Ila kuongeza base ya walipaji, kodi iwe nyingi zaidi ili iakisi maisha ya watu wote hata wafanyabiashara. Kata
Eti sio kupunguza kodi, mwehu wa wapi weye? Wewe utakua unakula kwa shemeji wala huumizi kichwa, tuache tulalamike tunaojua maumivu ya kodi zilizopo.
 
Kodi hazipo chini kilichopo ni watu kuingiza bidhaa kimagendo na hivyo Bei kuwa chini
Labda, lakini
Kodi ndio uchumi wa nchi, hakuna nchi yoyote inayojitambua ambayo haikusanyi kodi, kwa Tz kinachotakiwa si kupunguza kodi Ila kuongeza base ya walipaji, kodi iwe nyingi zaidi ili iakisi maisha ya watu wote hata wafanyabiashara. Kata
Njia moja ya kuongeza base ni kupunguza kodi
 
Bara kukiwa na kodi sawa na zanzibar, kutakuwa na wateja wachache sana watakaopitishia mizigo huko kwasababu ya population yake, bora huku iwe kubwa ili walau kule watu wakanunue vitu na wenzetu wapate wateja.
Mbona TRA wanachaji ushuru bandarini Dar kwa mizigo inayotoka Zanzibar?

Mkuu Zanzibar inahitaji kitu kimoja tu kutoka Bara, nalo ni uhuru.
 
Back
Top Bottom