Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Mshahara wa Mil 5 anatoa wapi mamilion hayo???
Kawekeza ukute kakopea bank halafu return yake ndo hiyo kuna watu wanapokea net 190k mwingine kakopea mkopo anaishi vzr, anasomesha halii njaa sembuse 5M anaweza kwenda bank akapewa kati ya100M hadi 150M akawekeza, km ww huna kazi na connection jilaumu tu ila utawala huu watu wanabeza watu Wapo wanapiga hela kihalali kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa kwa hiyo unakopaga pesaa ukawagawiee watu????[emoji119][emoji119][emoji119]
 
wabongo nyie

#kwa ku- zo0m[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Inawezekana kabisa anazihalalisha kwa njia ambazo wengi hamtajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…