rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Na leo anafuturisha walemavu na macelebrity wa Dar. Hapa nshaazima magongo ya mlemavu niwahi siti ya mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Na leo anafuturisha walemavu na macelebrity wa Dar. Hapa nshaazima magongo ya mlemavu niwahi siti ya mbele
Na kwa yale makontana mbona alimvuta pumbu kabisaa..[emoji23][emoji23]Mtoto mpendwa wa baba hufanya atakalo. Anaweza kumshika baba kalio na asifanywe chochote
Pesa za ofisi ndo anazitumbua ausiooOfisi yake inapesa
Alidunduliza akapata.Mshahara wa Mil 5 anatoa wapi mamilion hayo???
Naona anaangalia msambwanda.
Case closed
DuuuhBashite ni shoga kila mtu anajua.
yeuwiiiiii.
Ha ha ha, mbona mimi ndio sielewi.Siyo kwamba mtoa mada hana jibu,jibu analo ila anataka tumsaidie kufumbua mdomo lakini hakuna aliye tayar baki kuwa bubu hivyo hivyo......
Hujataka kuongeza hata neno[emoji23]
Kawekeza ukute kakopea bank halafu return yake ndo hiyo kuna watu wanapokea net 190k mwingine kakopea mkopo anaishi vzr, anasomesha halii njaa sembuse 5M anaweza kwenda bank akapewa kati ya100M hadi 150M akawekeza, km ww huna kazi na connection jilaumu tu ila utawala huu watu wanabeza watu Wapo wanapiga hela kihalali kabisaMshahara wa Mil 5 anatoa wapi mamilion hayo???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa kwa hiyo unakopaga pesaa ukawagawiee watu????[emoji119][emoji119][emoji119]Kawekeza ukute kakopea bank halafu return yake ndo hiyo kuna watu wanapokea net 190k mwingine kakopea mkopo anaishi vzr, anasomesha halii njaa sembuse 5M anaweza kwenda bank akapewa kati ya100M hadi 150M akawekeza, km ww huna kazi na connection jilaumu tu ila utawala huu watu wanabeza watu Wapo wanapiga hela kihalali kabisa
Wewe eclat wewe!ina maana haya ni mahongere ?