Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula..

Alianza kumsifia (japo kusifia sio dhambi) baada ya mechi na TP Mazembe Congo ambapo DAB alisema kiwango cha Manula kilimkuna hivyo angetoa zawadi..(japo kiuhalisia sidhani kama Manula alionyesha kiwango hiko cha uwezo.

Jana kwenye tuzo za Mo Simba Awards ..DAB ikasemekana angetimiza ahadi ya kumtunuku Manula zawadi yake ya kiwango kizuri kwenye game na Mazembe.(zawadi ilitangazwa milioni 5 na MCs wa sherehe hizo)

DAB alipopewa nafasi kutoa tuzo..akasema kuwa ataongeza pesa hiyo kutoka milioni tano hadi 10 sambamba na kutoa milioni 1 kwa kila mshindi wa tuzo..

Sababu za kuongeza pesa hiyo..eti kiwango cha Manula kimemkuna ghafla...

Atukatai mchezaji kupewa pongezo anapofanya vyema..but why inakuwa kwa staili hii??

Na hisi kuna..... Kanaendela kati ya hao wawili...
Mapenzi ni mapenzi tu. Mkia kusifia mkia wa mwenzake siyo dhambi.
 
Kwani ni za Serikali?
Mimi nadhani ni za kwake sio mbaya.
 
Mtoto mpendwa wa baba hufanya atakalo. Anaweza kumshika baba kalio na asifanywe chochote
 
Mbona hilo jamaa linampenda sana Manula
Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo
Isije ikawa ni nyuki wa mjini
 
Back
Top Bottom