tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Habari za wakati huu,
Koding Kids Program ni programu maalum ya wiki 2 ambapo watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi miaka 15 watafundishwa masuala ya msingi kuhusu masomo ya sayansi ya kompyuta lengo likiwa ni kuamsha hisia zao na hamasa ya kutaka kufahamu zaidi kuhusu sayansi ya kompyuta.
Mafunzo haya yatatolewa kwa mfumo wa kambi na kwa lugha rahisi kueleweka, yaani mchanganyiko wa Kiswahili na Kingereza, ambapo maneno ya kitaalamu tu ndiyo yatatumia lugha ya Kingereza.
Mafunzo haya yanatarajia kuanza kutolewa kuanzia mwezi wa Disemba 2022 wakati wa likizo, kwa muda wa saa mbili kila siku, kwa siku 14 na yatakuwa yanatolewa katika mikoa tofauti.
Vile vile kutakuwa na mafunzo ya kila Jumamosi ambapo yatatolewa kwa masaa mawili kwa muda wa wiki 14 kuanzia Disemba 2022.
Gharama za mafunzo haya ni nafuu na rafiki kwa mzazi. Iwapo ungependa mwanao ashiriki katika mafunzo haya tafadhali tuwasiliane kwa simu 0715323060 au kwa kupitia koding@tzhosts.com