Hio speaker kuwa ohm moja tu ni jambo la kustaajabisha😂😂😂 achilia mbali hizo RMSSamaan Kwa kutoka nje ya mda kidogo Ila nilitaka kujua kama Kuna anaefaham kuhusu hili diaba la umeme?View attachment 2294202
Samaan Kwa kutoka nje ya mda kidogo Ila nilitaka kujua kama Kuna anaefaham kuhusu hili diaba la umeme?View attachment 2294202
mimi ni askofu kabisa, hapa geto nimefunga sound kuna muda najikuta saa 9 usiku hii hapa ,nakula ngoma tu, nimefunga duo sub, front, sorround,soround back, sorround heighEeh kwenye hii sekta ni kama padri anavyolijua kanisa😂
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe kama mimi kabisa, mi napenda sana mziki mzuri ambao unasikia vyema katika kila angle na mchujo mwingi + bass la kuangusha panya darini.
Hio speaker kuwa ohm moja tu ni jambo la kustaajabisha😂😂😂 achilia mbali hizoakiong
Bei yake mtandaoni ni $901changamoto hapa ni bei.
hiyo unayoiona hapo,usishangae kuambiwa $1200 bado hujapata box wala system setup nyingine.
weka usafiriBei yake mtandaoni ni $901
weka usafiri
Hio speaker kuwa ohm moja tu ni jambo la kustaajabisha😂😂😂 achilia mbali hizo RMS
Hatujatofautiana sana, mie michezo hio nimeianza toka enzi za National panasonic hadi zama za Sony Mega bassYYaan Mimi nilianza kupenda deep bass nikiwa mtoto yaan kwanza nilikua napenda saana jinsi Ile lile Domo la juu likiwa linavibrate bass Mimi naona Raha saana, baadae kwenye kukagua Kila Kona nikaanza kugundua bass inapotokea kwenye vent hole ambapo upepo wa bas unatokea , nikawa naweka sikio pale daah !!!!😇😇😱😱😱😱😱 Asikwambie mtu yaan deep bass Ina Raha yake kuiskia Sema watu hawajui / hawataki Ila mi nawambieni ukweli kuwa deep bass hata kama una hasila kias Gani kama wee kweli ni music enthusiastic kama extrovert 😂😂 uwezi Kuwa na hasila maana Ile Raha inayokuingia maskioni unakua unais kama vile upo peponi alafu watu waelewe ngoma unazopiga utasikia jilani anakwambia ""rudia hio jilaanii"""
Ama vip wazeewangu wa deep bass!!
mzigo gani? uko na picha yake?Mkuu huu mzigo nimekutana nao pahala Kilimanjaro... nilifanya kama ulivyo fanya wewe aisee.
Jamaa akaniambia leta 300k tu cash cash nikuachie chaap aisee ni hatari na nusu kwa mziki wa kipato cha kawaida.
nenda insta tafuta jamaa wakuitwa lee audio kenya, anavyo hvyo vinu vyakutosha sanaaa pesa yako tu mzigo ndani ya siku 2 unao ama mcheki yule ras wa arusha anatumia jina eastside insta anazo baadh nae.Bei yake mtandaoni ni $901View attachment 2294513
kweli mkuuHio itakuwa peak power output. 2OOOwatts is huge for that system.
Huenda ni 5Ow kwa sattelites 5 na 25Ow za Subwoofer in RMS. Kwahio 5OOw RMS.
hopely hta bei yake itakuwa ni zaidi ya 1milion za kibongoHii si itakuwa maangamizi mzee? Kama hizo figure ni za ukweli mbona litakuwa balaa zito [emoji23][emoji23][emoji23]
yangu ni 2913[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Ile KT-2812 tu nilimshawishi mwanangu korokwincho aichukue mambo ambayo aliyasikia mle mpaka sasa kashakula tunda kimasihara [emoji19]sana maana kila mchumba anayeishi jirani anashawishika kwenda kusikiliza kinu magetoni kwake matokeo yake wanaliwa kimasihara[emoji23]
hii hapa bongo wanaiuza kwa bei nzuri kabisa kma bdo uko interested nayo.RM 799.00 ( Malaysian Ringits) equals to Tsh 418,857.8044~~Tsh500000.View attachment 2293759