Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Mkuu huu mzigo nimekutana nao pahala Kilimanjaro... nilifanya kama ulivyo fanya wewe aisee.

Jamaa akaniambia leta 300k tu cash cash nikuachie chaap aisee ni hatari na nusu kwa mziki wa kipato cha kawaida.
 
Hahahahahahah nakubali nakubali.
mimi ni askofu kabisa, hapa geto nimefunga sound kuna muda najikuta saa 9 usiku hii hapa ,nakula ngoma tu, nimefunga duo sub, front, sorround,soround back, sorround heigh
 
YYaan Mimi nilianza kupenda deep bass nikiwa mtoto yaan kwanza nilikua napenda saana jinsi Ile lile Domo la juu likiwa linavibrate bass Mimi naona Raha saana, baadae kwenye kukagua Kila Kona nikaanza kugundua bass inapotokea kwenye vent hole ambapo upepo wa bas unatokea , nikawa naweka sikio pale daah !!!!😇😇😱😱😱😱😱 Asikwambie mtu yaan deep bass Ina Raha yake kuiskia Sema watu hawajui / hawataki Ila mi nawambieni ukweli kuwa deep bass hata kama una hasila kias Gani kama wee kweli ni music enthusiastic kama extrovert 😂😂 uwezi Kuwa na hasila maana Ile Raha inayokuingia maskioni unakua unais kama vile upo peponi alafu watu waelewe ngoma unazopiga utasikia jilani anakwambia ""rudia hio jilaanii"""
Ama vip wazeewangu wa deep bass!!
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe kama mimi kabisa, mi napenda sana mziki mzuri ambao unasikia vyema katika kila angle na mchujo mwingi + bass la kuangusha panya darini.
 
emoji28.png
emoji28.png
changamoto hapa ni bei.

hiyo unayoiona hapo,usishangae kuambiwa $1200 bado hujapata box wala system setup nyingine.
Bei yake mtandaoni ni $901
Screenshot_20220717-151559.png
 
YYaan Mimi nilianza kupenda deep bass nikiwa mtoto yaan kwanza nilikua napenda saana jinsi Ile lile Domo la juu likiwa linavibrate bass Mimi naona Raha saana, baadae kwenye kukagua Kila Kona nikaanza kugundua bass inapotokea kwenye vent hole ambapo upepo wa bas unatokea , nikawa naweka sikio pale daah !!!!😇😇😱😱😱😱😱 Asikwambie mtu yaan deep bass Ina Raha yake kuiskia Sema watu hawajui / hawataki Ila mi nawambieni ukweli kuwa deep bass hata kama una hasila kias Gani kama wee kweli ni music enthusiastic kama extrovert 😂😂 uwezi Kuwa na hasila maana Ile Raha inayokuingia maskioni unakua unais kama vile upo peponi alafu watu waelewe ngoma unazopiga utasikia jilani anakwambia ""rudia hio jilaanii"""
Ama vip wazeewangu wa deep bass!!
Hatujatofautiana sana, mie michezo hio nimeianza toka enzi za National panasonic hadi zama za Sony Mega bass
 
Mkuu huu mzigo nimekutana nao pahala Kilimanjaro... nilifanya kama ulivyo fanya wewe aisee.

Jamaa akaniambia leta 300k tu cash cash nikuachie chaap aisee ni hatari na nusu kwa mziki wa kipato cha kawaida.
mzigo gani? uko na picha yake?
 
Ngoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Ile KT-2812 tu nilimshawishi mwanangu korokwincho aichukue mambo ambayo aliyasikia mle mpaka sasa kashakula tunda kimasihara [emoji19]sana maana kila mchumba anayeishi jirani anashawishika kwenda kusikiliza kinu magetoni kwake matokeo yake wanaliwa kimasihara[emoji23]
yangu ni 2913[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom