filibert paul
Senior Member
- Oct 8, 2021
- 179
- 421
mkuu unataka kugombana na majirani zako sio
Maana hyo 5.1 si mchezo
Mkuu,Na ndio maana ukitaka kumjua mtu mwenye sea piano muache aachilie sauti mpaka juu, [emoji23][emoji23] broh utasikia mabati ya nyumba yake ndo yanakua radiators yaan mziki unakosa Radha kabisa inakua kama makelele.
Coz woofer ya seapiano ina : 80Wrms 2Ξ© at 100Hz, na ndo maana yanaunguruma sana.
hebu tuwekee model yke hpa tusome specifications zake tujiridhishe unayoyanena.Wazeee katika zunguka zangu kufanya utafiti wa hizi sound zenye deep sound kali JBL soundbar 5.1 channel ile mikito yake imenibadilisha maamuzi sana
Hata huyu kodtec hatoboi hapo sema ni vile bei za jbl ni kisanga kibongo bongo
Wauzaji wengi wanazi overprice sana,sasa sijajua ni ushuru mkubwa au tamaa ya kutaka faida kubwa
Mziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Huu mziki unaweza week getting kishkaji tu!?Mziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Kwaio kwenye DC ndo waweza unganisha kwenye gari,
Mfano kodtec kt 2809A.
Bei yake ni inaanzia 200k mpaka 160k.
Naskia huo mtambo ni shida na aina hii ya kodtec wametumia speaker Fulani hivi inaitwa ""ASTRUM SM080""**.
View attachment 2317537
Technical Specifications:
""***Astrum SM080 is a speaker system that delivers an ultimate audio performance, it comes with a wooden 6.5-inch subwoofer and 4-inch satellites that produce bass you can feel! The satellite speakers are designed in a manner to perfectly deliver middle and high tones.
- 80W RMS of crystal clear audio
- Volume and bass control on subwoofer
- Wireless remote controller
- Bluetooth connectivity for wireless streaming
- USB play, SD card slot, FM and AUX support.
- Output Power: 80W RMS.
- power AC/DC
- S/N Ratio: 65dB
- Driver Unit: 6.5 inches + 4 inches x 2
- Bluetooth: V5.0 up to 10m connectivity.
- Distortion: Λ0.5%
- Frequency Response: 30 Hz - 20kHz
- Impedance: 8β¦ Bass / 4β¦ Satellite
- Sub. Dimensions: 394 x 287 x 327mm (W x D x H)
- Sat. Dimensions: 140 x 287 x 263mm (W x D x H)
- Weight: 12kg (approx.)
A powerful performance speaker system that delivers an audio performance with 80W power, for that bold sound that immerses you in the moment, producing strong, rich bass notes adding depth to the music, videos, movies and gaming.
A multi-functional speaker with multi-connectivity options such as Bluetooth, USB play, SD play and Aux input and for more flexibility in streaming music or playing your favorite hits. The wireless connectivity allows you to connect the device of your choice by easy pairing to the wireless speaker. Tune in to your favorite FM station with FM support.
Regulate the bass, treble and volume of your music with the controls conveniently located behind the speaker subwoofer or switch between wireless or wired mode depending on the device you are streaming. It also comes with a wireless remote controller giving you added wireless freedom to control your speaker even from a distance.**""""
Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo [emoji23][emoji23][emoji23].
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,[emoji23][emoji23][emoji23]
JBL ina deep bass, iko vizuri ila kwa bei kodtec ana price advantage. Quality ya sound almost zinaendeana ila moja unapata kwa laki 5 ingine million na laki 8Wazeee katika zunguka zangu kufanya utafiti wa hizi sound zenye deep sound kali JBL soundbar 5.1 channel ile mikito yake imenibadilisha maamuzi sana
Hata huyu kodtec hatoboi hapo sema ni vile bei za jbl ni kisanga kibongo bongo
Wauzaji wengi wanazi overprice sana,sasa sijajua ni ushuru mkubwa au tamaa ya kutaka faida kubwa
Hii hapa mkuu narudi kusaka hela nitafute huyu mnyama aiseee hili seapiano natuma huko sina mziki nina kelele tu ndani kumbeMziki gani mkuu hebu tuliza mapepe, ni kodtec gani umekutana nayo?[emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ Na baado tutawakalishaaYaani leo kwa mara ya kwanza nimekutana na ile deep feeling ya mziki
mkuu duka gani siku tukirudi mjini tufikie hapo,na picha sio mbaya ukishareYaani leo kwa mara ya kwanza nimekutana na ile deep feeling ya mziki
π€£π€£π€£ Na baado tutawakalishaa
Hii ni mauaji mzee πππ sema ni toleo la nyuma ya hizi KT-2812 na ile KT-2913 ila nayo inafumua sio mchezo. Hio uliosikia ni 8O rms sasa hizi za sasa kuna 2OO rms na 3OOrmsHii hapa mkuu narudi kusaka hela nitafute huyu mnyama aiseee hili seapiano natuma huko sina mziki nina kelele tu ndani kumbe View attachment 2317996
Hapo kwenye frequency response ndiko uchawiMziki wa gari angalia kwenye power specifications za speaker husika kama zinatumia AC/DC
Kwaio kwenye DC ndo waweza unganisha kwenye gari,
Mfano kodtec kt 2809A.
Bei yake ni inaanzia 200k mpaka 160k.
Naskia huo mtambo ni shida na aina hii ya kodtec wametumia speaker Fulani hivi inaitwa ""ASTRUM SM080""**.
View attachment 2317537
Technical Specifications:
""***Astrum SM080 is a speaker system that delivers an ultimate audio performance, it comes with a wooden 6.5-inch subwoofer and 4-inch satellites that produce bass you can feel! The satellite speakers are designed in a manner to perfectly deliver middle and high tones.
- 80W RMS of crystal clear audio
- Volume and bass control on subwoofer
- Wireless remote controller
- Bluetooth connectivity for wireless streaming
- USB play, SD card slot, FM and AUX support.
- Output Power: 80W RMS.
- power AC/DC
- S/N Ratio: 65dB
- Driver Unit: 6.5 inches + 4 inches x 2
- Bluetooth: V5.0 up to 10m connectivity.
- Distortion: Λ0.5%
- Frequency Response: 30 Hz - 20kHz
- Impedance: 8β¦ Bass / 4β¦ Satellite
- Sub. Dimensions: 394 x 287 x 327mm (W x D x H)
- Sat. Dimensions: 140 x 287 x 263mm (W x D x H)
- Weight: 12kg (approx.)
A powerful performance speaker system that delivers an audio performance with 80W power, for that bold sound that immerses you in the moment, producing strong, rich bass notes adding depth to the music, videos, movies and gaming.
A multi-functional speaker with multi-connectivity options such as Bluetooth, USB play, SD play and Aux input and for more flexibility in streaming music or playing your favorite hits. The wireless connectivity allows you to connect the device of your choice by easy pairing to the wireless speaker. Tune in to your favorite FM station with FM support.
Regulate the bass, treble and volume of your music with the controls conveniently located behind the speaker subwoofer or switch between wireless or wired mode depending on the device you are streaming. It also comes with a wireless remote controller giving you added wireless freedom to control your speaker even from a distance.**""""
Hii imedizainiwa kukaa Kwenye Buti au nyuma ya viti Kwa sababu Ina sura ambayo inaogopesha kidogo πππ.
Hii tunaraisisha tu maisha jaman Ili Sisi wa low income tujiskie angalau kama akina JBL ausio,,πππ
Tafta ngoma ya Tory Lanes - "Freaky" utaijua nguvu ya Kodtec angalia usiangushe dari πππNilidownload playlist ya kina Migos alafu kwenye PC yangu nilidownload app ya equalizerAPO.
Asa nilifanyia configuration ya deep bass aseeh , majirani wakawa wanatokatoka nje kuangalia nani anamiliki muungurumo ule, na Mimi nawaangalia tu wanavyokanyagana..
KODTEC NI MASHINE ASIKWAMBIE MTU Mimi mwenyewe sijiamini kama namiliki hiki kinu Kwa sababu sio kwa bass hii .
Apo lazima utoroke kazini Aseh.
Daah Nipo na PC hapa na Iko full equalized duubhhhhh kubabake nimeidownload , aseeh naiacha seblen naenda kuisikiliza nikiwa chumba kingine naiacha imalize maana sio Kwa kishindo hiki aseehTafta ngoma ya Tory Lanes - "Freaky" utaijua nguvu ya Kodtec angalia usiangushe dari πππ
Nahisi Equalizer bado hujaipata nzuri. Tafta kitu inaitwa comet player. Hii player naitumiaga kusikilizia miziki iko na very powerfull equalizer. Download chap ni 1OMB tu.Daah Nipo na PC hapa na Iko full equalized duubhhhhh kubabake nimeidownload , aseeh naiacha seblen naenda kuisikiliza nikiwa chumba kingine naiacha imalize maana sio Kwa kishindo hiki aseeh
Kama zipi hizo 200rms na 300rms nipande kuzitafuta kama ikiwezekana niweke na picha mkuuHii ni mauaji mzee [emoji23][emoji23][emoji23] sema ni toleo la nyuma ya hizi KT-2812 na ile KT-2913 ila nayo inafumua sio mchezo. Hio uliosikia ni 8O rms sasa hizi za sasa kuna 2OO rms na 3OOrms