Kodtec Speaker systems

Hamna Subwoofer ya Kodtec ya 90k labda tule tudogo twa zamani twenye 50w! Za kati kwenda kubwa zina range kwenye 200K+!

Nimefuatilia na bei zake.

Hio tu niliopost huipati chini ya 350K mkuu.
Mkuu nimewahi kuomba ushauri wako hukunijibu. Kuna music system mbili tofauti nawaza kununua moja wapo,Kuna home theater ya SONY HT S20r 5:1hii bei yake ni 550k na Hi fi ya LG X boom CJ44 2:1 hii bei yake ni 650k. LG nimeisikilza ikiwa dukani,ina mziki umepangiliwa vizuri sana,SONY nimeikuta kwenye boksi kwahiyo sijasikia chochote.Naambatanisha picha hapa chini unishauri nichukue ipi.
 

Attachments

  • images (68).jpeg
    19.9 KB · Views: 26
Power wise hio sony ni ndogo compared na hio LG xBoom so hata quality ya mziki haitakuwa kubwa sana. I would advise you to go with LG
 
Huu mziki ulikuwa kwa uncle yangu mmoja. Rip Jafet Mshana.
Huo ulikuwa unafika 2Hz kwa CD ila kwa tape unaanzia 40Hz mkito wake ulikuwa balaa aisee ukiskiza goma la Mr.Paul nakuzimia lile ilikuwa hatari tupu
Mkuu na hii ya kwangu inachezea kwenye frequency ngapi za Hz?

 
inakita balaa,hiyo bass ni kisanga, wanaoihitaji wawa siliane na mrisho, spika za tawer zipo black pia,nimekuta ameshusha mzigo leo
Mrisho ndio nani maana hatuelewi
 
Hahahah mkuu mi sio wakala mimi ni Enthusiast! Naomba weekend kama una muda twende mguu kwa mguu mpaka ilipo hio kitu ukajionee kwa macho na upate kusikia mwenyewe, naamini utakuwa balozi mzuri 😁😁😁

Ubora wake sio wa mashaka!
Poa poa ndugu enthusiast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…